-
Mkutano wa marais wa Iran na Russia; nchi mbili zilizo katika mkondo wa pamoja wa kimkakati
Jan 20, 2022 22:59Sayyid Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran siku ya Jumatano alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Moscow ambapo pande mbili zimejadili masuala ya kieneo na kimataifa.
-
Rais Ebrahim Raisi: Uhusiano mzuri wa Iran na Russia upo katika njia ya mahusiano ya kistratejia
Jan 20, 2022 01:15Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna mipaka yoyote katika njia ya kupanua uhusiano wa taifa hili la Kiislamu na Russia na kwamba, uhusiano wa Tehran na Moscow upo katika kiwango cha mahusiano ya kistratejia.
-
Mwakilishi wa Iran UN asifu maendeleo 'muhimu' ya kuwawezesha wanawake nchini licha ya vikwazo vya Marekani
Jan 19, 2022 07:16Iran imepongeza mafanikio makubwa yaliyopatikana hapa nchini katika kuwawezesha wanawake na wasichana, licha ya vikwazo vya Marekani vilivyo kinyume cha sheria na vya kinyama vinavyolenga nchi hiyo.
-
Kuanza utekelezaji wa mkataba wa miaka 25 wa ushirikiano wa kistratejia wa Iran na China
Jan 19, 2022 05:01Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alitangaza mwishoni mwa safari yake nchini China hivi karibuni kwamba: "katika safari hiyo, pande mbili zimekubaliana kuitangaza Ijumaa iliyopita kuwa siku ya kuanza utekelezaji wa makubaliano kamili ya mashirikiano ya kistratejia baina ya nchi mbili."
-
Rais Ebrahim Raisi: Ushirikiano wa Iran na Russia unaimarisha amani
Jan 19, 2022 04:46Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Ushirikiano kati ya Iran na Russia unajenga amani na usalama na utazuia sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja katika kanda hii.
-
Rais Raisi wa Iran kutembelea Russia leo, kukutana na Rais Putin
Jan 18, 2022 23:58Rais Ebrahim Raisi wa Iran leo anaelekea Russia kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo kuhusu masuala muhimu ya kieneo, kimataifa na ya pande mbili.
-
Admirali Sayyari: Iran hivi sasa imo katika kuvuka kipindi kigumu cha vikwazo
Jan 18, 2022 10:09Naibu Mkuu wa Uratibu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa la Iran hivi sasa limo katika kuvuka kipindi cha vikwazo vigumu zaidi na vya kidhalimu zaidi katika historia yake ya kimataifa.
-
Kuanza kupelekwa barani Ulaya huduma za nishati za Iran
Jan 18, 2022 04:38Kufuatia kutiwa saini hati ya mapatano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Romania kwa ajili ya kupelekwa nchini humo huduma za kiufundi za Iran katika sekta ya gesi, kwa mara ya kwanza Iran imejiunga na nchi zinazouza barani Ulaya huduma za nishati.
-
Baada ya miaka 6; hatimaye wanadiplomasia watatu wa Iran wawasili mjini Jiddah Saudia
Jan 17, 2022 23:06Baada ya kupita miaka 6 ya Saudia kutoruhusu uwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndani ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC, hatimaye hivi Riyadh sasa imeruhusu na tayari wanadiplomasia watatu wa Iran wamewasili mjini Jeddah kwa ajili ya kuiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu katika jumuiya hiyo.
-
Khatibzadeh: Mambo muhimu bado yamebakia katika suala la kuondolewa vikwazo Iran
Jan 17, 2022 11:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, masuala muhimu na ya kimsingi katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna Austria bado yamebakia ambapo panahitajika maamuzi maalumu ya kisiasa hususan kutoka upande wa Marekani.