-
Benki ya Dunia: Uchumi wa Iran ulistawi kwa asilimia 3.1 mwaka 2021
Jan 17, 2022 04:33Benki ya Dunia imesema uchumi wa Iran ulistawi kwa asilimia 3.1 mwaka 2021 na hivyo kupiga hatua zaidi ya utabiri wa benki hiyo ambayo ilikuwa imetabiri Juni mwaka jana kuwa ustawi huo ungekuwa kwa asilimia moja.
-
Jeshi la wanamaji la Iran; mlinda usalama katika eneo la maji ya kimataifa
Jan 16, 2022 23:07Kamanda wa kikosi cha wanamaji cha jeshi la Iran amesema, kulinda usalama na kuvipa msaada vyombo vya baharini na pia kuonyesha uwezo wa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu sambamba na kufikisha ujumbe wa amani na urafiki, ndio malengo ya Iran ya kuwepo kijeshi kwenye eneo la maji ya kimataifa.
-
Kamanda: Usalama wa Iran ni mstari mwekundu wa vikosi vya ulinzi
Jan 16, 2022 04:32Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran amesema usalama wa taifa hili ni mstari mwekundu wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama vya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rais wa Iran alegeza baadhi ya masharti ya kukabiliana na Corona, huku vifo vikipungua
Jan 16, 2022 00:02Rais Ebrahim Raisi wa Iran ameruhusu kuondolewa baadhi ya masharti na vikwazo vilivyokuwa vimetangazwa hapa nchini kwa lengo la kupambana na msambao wa ugonjwa wa Covid-19, huku idadi ya maambukizi na vifo vinavyotokana na maradhi hayo ikiendelea kupungua.
-
Balozi za Iran na Saudia kufunguliwa tena karibuni
Jan 15, 2022 08:42Mwanachama wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Saudia upo katika mkondo wa kuhuishwa.
-
Abdollahian: Utekelezaji wa mkataba wa miaka 25 wa mashirikiano ya kistratejia ya Iran na China umeanza
Jan 15, 2022 00:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza mwishoni mwa safari yake nchini China hapo jana: "katika safari hii, pande mbili zimekubaliana kuitangaza leo (Ijumaa) kuwa siku ya kuanza utekelezaji wa makubaliano kamili ya mashirikiano ya kistratejia baina ya nchi mbili."
-
Raisi: Vikwazo na vitisho haviwezi kulizuia taifa kustawi na kupata maendeleo
Jan 14, 2022 08:51Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, vikwazo na vitisho kamwe haviwezi kulizuia taifa la Iran kustawi na kupata maendeleo.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Inabidi tusimame imara kwa ghera katika vita vya kidiplomasia
Jan 14, 2022 08:46Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, adui anaihitajia zaidi Iran katika mazungumzo yanayoendelea mjini Vienna Austria na kusisitiza kuwa, inabidi tusimame imara na kwa ghera katika vita vya kidiplomasia.
-
Iran imefanyia majaribio chombo cha kurusha sataliti kinachotumia fueli mango
Jan 14, 2022 04:47Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Iran imefanyia majaribio yaliyofana injini ya kwanza ya Iran yenye kubeba satalaiti katika anga za mbali ambayo inatumia fueli mango.
-
Jeshi la Iran la IRGC lafanya mazoezi makubwa zaidi ya nchi kavu
Jan 14, 2022 04:26Kikosi cha Nchi Kavu la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limefanya mazoezi makubwa zaidi ya pamoja ya kijeshi kusini mashariki mwa nchi .