-
Iran: Tumechelewa kulipa ada yetu UN kutokana na vikwazo vya kidhulma vya Marekani
Jan 13, 2022 00:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu kusimamishwa haki ya kupiga kura Iran katika Umoja wa Mataifa kwamba anasikitika kusema kuwa, kwa mwaka wa pili mfululizo Tehran imeshindwa kulipa ada yake ya uanachama kwa Umoja wa Mataifa kutokana na vikwazo vya kidhulma na haramu vilivyowekwa na Marekani dhidi yake.
-
Kamanda: Utawala wa Kizayuni hauna uwezo wa kukabiliana na Iran
Jan 12, 2022 12:29Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kukabiliana na Iran.
-
Abdollahian: Haipasi kutumia mabavu na mtutu wa bunduki kutatua migogoro
Jan 12, 2022 04:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, haipasi kutumia njia ya mabavu na ya kijeshi katika kuyapatia ufumbuzi matatizo na migogoro mbalimbali.
-
Brigedia Jenerali Shekarchi: Marekani ni mfadhili mkuu wa ugaidi, chanzo cha ukosefu wa usalama duniani kote
Jan 11, 2022 10:46Msemaji wa Jeshi la Iran ameitaja Marekani kuwa nchi inayoongoza kwa kufadhili ugaidi duniani na kusema Washington ndiyo chanzo cha ukosefu wa usalama kote duniani.
-
Iran: Marekani acheni vitisho, hamna nafasi Asia Magharibi
Jan 11, 2022 04:22Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, Wamarekani sasa wameelewa kuwa, kama wataendelea kung'ang'ania kubakia katika eneo la Asia Magharibi, basi wajiandae pia kupata hasara kubwa zaidi.
-
Iran: Uhusiano wetu na Oman ni wa jadi na imara sana
Jan 10, 2022 10:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, uhusiano wa Tehran na Oman ni wa jadi na imara na kwamba siasa za serikali ya Iran zitaendelea kuwa za kupigania uhusiano imara na majirani zake.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika kumbukumbu ya mwamko wa kihistoria wa Dei 19; kubainishwa vipengee vya nguvu ya wananchi wa Iran
Jan 10, 2022 06:40Ayatullah Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumapili alizungumza kwa njia ya televisheni na wananchi wa mji mtakatifu wa Qum kwa mnasaba wa kukumbuka vuguvugu la mwamko wa tarehe 19 mwezi Dei mwaka 1356 sawa na Januari 9 1978 dhidi ya utawala wa zamani wa Shah Pahlavi.
-
Khatibzadeh: Ipo ajenda ya kufanyika duru ya tano ya mazungumzo baina ya Iran na Saudia
Jan 10, 2022 05:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema Iran na Saudia zinapanga kufanya awamu ya tano ya mazungumzo chini ya uenyeji wa nchi ya Iraq.
-
Khazali: Mafunzo ya njia ya fikra ya Soleimani ni ibra kwa walimwengu wote
Jan 09, 2022 23:16Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya wanawake na familia amesema katika Mkutano wa Njia ya Fikra ya Luteni Jenerali Shahidi Qasem Soleimani kwa Mtazamo wa Wawane wa Nchi Nyingine Duniani kwamba: Mafunzo na ibra ya njia ya fikra ya Soleimani yametoa somo kwa walimwengu wote.
-
Ayatullah Khamenei: Marekani ni adui mkubwa wa utawala wa Kiislamu
Jan 09, 2022 10:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo ameashiria watu wanaoitaja kaulimbiu ya "Mauti kwa Marekani" inayotolewa na wananchi wa Iran kuwa ndiyo sababu ya uhasama wa siku zote wa ubeberu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kusema: Marekani ni adui mkubwa wa utawala wa Kiislamu, kwa sababu utawala huo unatokana na dini na ni dhihirisho la itikadi za kidini za wananchi.