-
Raisi: Vikwazo haviwezi kuzuia kustawisha uhusiano kati ya Iran na nchi nyingine
Sep 26, 2021 11:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo haviwezi kuzuia kustawisha uhusiano na ushirikiano wa Iran na nchi nyingine.
-
Abdollahian: Wasiwasi juu ya maendeleo ya kinyuklia ya Iran ni kitu kisicho na msingi wowote
Sep 25, 2021 04:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, wasiwasi juu ya maendeleo ya miradi ya nyuklia ya Iran hauna msingi wowote.
-
Ebrahim Raisi: Ni jambo la dharura kustawishwa mauzo ya bidhaa za Iran kwa Iraq na nchi jirani
Sep 24, 2021 23:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, ni jambo la dharura kustawishwa uuzaji wa bidhaa za Iran kwa Iraq na nchi jirani na inabidi miundombinu ya kufanikisha jukumu hilo iimarishwe kadiri inavyowezekana.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran juu ya Umoja wa Mataifa kuimarisha nafasi yake katika utatuzi wa migogoro ya kimataifa
Sep 24, 2021 23:03Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono ubunifu wa Umoja wa Mataifa katika kusaidia kurudisha amani na usalama wa kimataifa na wakati huo huo kukaribisha misimamo ya Katibu Mkuu wa umoja huo isiyopendelea upande wowote na ya kiadilifu katika uwanja huo.
-
Khatibzadeh: Iran imefanya mazungumzo yenye tija na Saudi Arabia
Sep 23, 2021 22:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa katika miezi michache iliyopita kumefanyika mawasiliano ya mara kwa mara kati ya Iran na Saudi Arabia na kuongeza kuwa, mazungumzo mazuri yamefanyika juu ya maswala yanayozihusu pande mbili.
-
Iran: Jeshi letu la majini linaweza kufika popote linapohitajika ulimwenguni
Sep 23, 2021 07:55Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, vyombo vya majini vya jeshi hilo vina uwezo wa kufika katika nukta na sehemu yoyote inayohitajika duniani.
-
Iran yasisitiza kutokomezwa kikamilifu aina zote za ubaguzi ukiwemo ubaguzi wa Apartheid na Uzayuni
Sep 23, 2021 04:39Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran inataka kutokomezwa aina zote za ubaguzi wa rangi ukiwemo ubaguzi wa Apartheid na Uzayuni.
-
FAO yakipongeza kituo cha utafiti wa kilimo cha teknolojia ya nyukia cha Iran
Sep 23, 2021 01:08Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO, na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA wamekipongeza kituo cha utafiti wa kilimo cha kutumia tekonolojia ya nyuklia cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Kamwe hatutoruhusu kufanikiwa njama za maadui
Sep 21, 2021 08:56Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kamwe hatutoruhusu njama za maadui zifanikiwe kukwamisha mustakbali wa nchi yetu.
-
Iran yajibu madai ya ovyo ya Saudia, yaonya kuhusu usiri wa miradi ya nyuklia ya Riyadh
Sep 21, 2021 07:47Mwakilishi wa Iran amejibu madai ya uongo na ya ovyo ya waziri wa nishati wa Saudi Arabia aliyotoa kwenye mkutano mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA na kusema kuwa, Saudia ndio kwanza inaheshimu sehemu ndogo to ya nakala ya zamani ya protokali za nyuklia lakini pamoja na hayo inajipa uthubutu wa kusimama mbele ya watu na kuwatuhumu wengine kuhusu miradi yao ya nyuklia.