-
Rais Raisi: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ni wa utakatifu
Sep 21, 2021 03:45Rais Ebrahim Raisi amesema: "mfumo wetu ni wa utakatifu kwa sababu umetokana na dini na mafunzo ya dini."
-
Eslami: Marekani inapasa kuondoa vikwazo vyote kivitendo dhidi ya Iran
Sep 20, 2021 22:12Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa wakati umefka kwa Marekani kurekebisha siasa zake ghalati, na katika hatua ya kwanza iondoe kivitendo vikwazo vyote, kwa njia athirifu na kutoa hakikisho.
-
Meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka nchini kuelekea Lebanon
Sep 20, 2021 06:52Kituo cha ufuatiliaji wa safari za meli za mafuta kimeripoti kuwa, meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka hapa nchini kuelekea Lebanon.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Jeshi la Taifa litatoa jibu kali kwa hatua yoyote ya kijinga
Sep 20, 2021 03:30Waziri wa Ulinzi wa Iran amejibu chokochoko na bwabwaja za viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel akisema kuwa Jeshi la Taifa la Iran litatoa jibu kali kwa hatua ya aina yoyote ya kijinga.
-
Khatibzadeh: Kuna udharura wa kuundwa serikali jumuishi nchini Afghanistan
Sep 19, 2021 12:04Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, kuna udharura wa kuundwa serikali itakayoshirikisha makundi na kaumu zote za Afghanistan.
-
Mafanikio ya kiistratijia ya kutumwa mafuta ya Iran nchini Lebanon; nguvu za muqawama za kutatua mgogoro
Sep 19, 2021 07:53Malori ya kwanza ya mafuta ya Iran yaliwasili nchini Lebanon Alkhamisi tarehe 16 Septemba, 2021 na kupokewa kwa shauku na furaha kubwa na wananchi wa nchi hiyo. Shehena ya pili ya mafuta hayo iliwasili Jumamosi asubuhi, Septemba 18 baada ya kuvuuka mpaka wa Syria na kuingia Lebanon.
-
Indhari ya Meja Jenerali Bagheri kwa makundi ya kigaidi yaliyo dhidi ya mapinduzi ya Kiislamu kaskazini mwa Iraq
Sep 19, 2021 03:24Mkuu wa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu chokochoko za makundi ya kigaidi na yaliyo dhidi ya mapinduzi ya Kiislamu kaskazini mwa Iraq.
-
Rais Raisi: Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Shanghai ni mafanikio ya kidiplomasia
Sep 18, 2021 22:28Rais Ebrahim Raisi amesema, kuwa mwanachama wa kudumu Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai ni harakati ya kistratejia na mafanikio ya kidiplomasia kwa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Uanachama kamili na wa kudumu wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai
Sep 18, 2021 07:43Hatua ya Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) ya kuikubali Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama mwanachama kamili na wa kudumu ndani ya jumuiya hiyo kumetajwa kuwa ni azimio muhimu zaidi la jumuiya hiyo katika miaka ya karibuni. Huko nyuma Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai iliafiki uanachama kamili na wa kudumu wa India na Pakistan.
-
Kiongozi Muadhamu awapongeza wanamichezo waliotwaa medali katika michezo ya Paralympic na Olimpiki ya Tokyo
Sep 18, 2021 06:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amekutana na wanamichezo waliotwaa medali katika mashindano ya Paralympic na Olimpiki ya Tokto Japan ambapo amewapongeza kwa mafanikio makubwa waliyoyapata katika mashindano hayo yaliyomalizika hivi karibuni.