-
Sheikh Issa Qassim atuma ujumbe wa pongezi kwa kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Aug 03, 2021 02:05Kiongozi wa Kiroho wa Harakati ya Wananchi wa Bahrain ametuma ujumbe wa pongezi kwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria kwa kuachiliwa kwake huru.
-
Khatibzadeh: Tuhuma za Uingereza na Marekani dhidi ya Iran hazina msingi, ni za kichochezi
Aug 02, 2021 21:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezitaja tuhuma zisizo na msingi zilizotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza dhidi ya Iran ambazo zimekaririwa tena na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kuwa zinakinzana, ni za uwongo na za kichochezi.
-
Kukaririwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani na Israel dhidi ya Iran
Aug 02, 2021 03:42Kampuni ya Zodiac Maritime inayomilikiwa na bilionea wa Kizayuni, Eyal Ofer Ijumaa iliyopita ilitoa taarifa ikitangaza kuwa, meli ya Mercer Street inayomilikiwa na Israel imeshambuliwa kwa kutumia ndege zisizo na rubani katika Bahari ya Oman.
-
Rais Rouhani: Uzinduzi wa miradi ni mwiba wa kooni kwa waliokuwa wakila njama dhidi ya Iran
Aug 01, 2021 23:41Rais Hassan Rouhani amesema, kuzinduliwa kwa miradi ni mwiba wa kooni kwa waliokuwa wakipanga njama mbalimbali dhidi ya Iran.
-
Kuzinduliwa maabara ya kwanza ya bioteklolojia ya isotopu; mafanikio mengine katika uwanja wa matibabu ya nyuklia nchini Iran
Aug 01, 2021 22:46Hii leo, elimu ya udaktari na utabibu ina uhusiano wa karibu sana na teknolojia ya nyuklia kiasi kwamba nchi zilizoendelea kiviwanda zinatumia pakubwa tekniolojia hiyo katika nyanja za sayansi ya udaktari na matibabu.
-
Khateebzadeh: Utawala wa Kizayuni uache kutoa tuhuma zisizo na msingi
Aug 01, 2021 08:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala haramu wa Israel unapaswa kuacha kutoa tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran.
-
Balozi Barmaki: Iran na Kenya ziko katika mkondo wa kustawisha uhusiano wa kiuchumi
Jul 31, 2021 09:12Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Nairobi Kenya amesema kuwa, Kenya ni nchi muhimu sana kwa Iran na kusisitiza kwamba, siku zote kumekuwa kukifanyika juhudi za kuhakikisha uhusiano wa pande mbili unakua na kuchukua wigo mpana zaidi.
-
Barua ya Iran kwa Katibu Mkuu wa UN: Serikali ya Marekani haijatekeleza majukumu yake ndani ya mapatano ya JCPOA
Jul 31, 2021 07:14Serikali ya Marekani hadi sasa haijatekeleza majukumu yake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA kinyume na maazimio ya Umoja wa Mataifa.
-
Katibu Mkuu Jumuiya ya Kimataifa Ahlul Bait aipongeza IMN kwa kuachiwa huru Sheikh Zakzaky
Jul 31, 2021 03:31Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bait amemtumia ujumbe Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky akimpongeza kwa kuachiwa huru baada ya kushikiliwa mahabusi kwa miaka kadhaa.
-
Iran yasikitishwa na moto mkubwa wa misituni ulioikumba Uturuki
Jul 30, 2021 22:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza masikitiko yake kufuatia moto mkubwa unaoendelea kuteketeza misitu nchini Uturuki.