-
Zarif amwandikia barua Katibu Mkuu wa UN kuelezea jinsi Marekani na Wamagharibi walivyohalifu ahadi
Jul 30, 2021 03:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kubainisha jinsi Marekani na Wamagharibi walivyohalifu ahadi na utekelezaji wa majukumu yao katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Matamshi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kikao cha mwisho na serikali ya duru ya 12
Jul 29, 2021 21:51Akizungumza Jumatano asubuhi katika kikao cha mwisho na Rais Hassan Rouhani pamoja na serikali yake ya duru ya 12, Ayatullah Ali Khamenei ametoa hotuba muhimu ambapo ameashiria malengo ya Marekani kudumisha uadui wake dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu na kubainisha nukta kadhaa katika uwanja huo.
-
Iran yaahidi kuendelea kulitetea taifa linalodhulumiwa la Palestina
Jul 29, 2021 21:51Naibu mjumbe wa Irani katika Umoja wa Mataifa amekemea kimya cha miongo saba cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mbele ya vitendo vyote visivyo halali vinavyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israeli, akisema historia ya wanadamu inashuhudia kwamba, wakati vitendo visivyo halali na uhalifu unapoachwa bila ya kuchukuliwa hatua hukaririwa na kufanywa tena.
-
Pongezi kwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid Ghadir Khum
Jul 28, 2021 22:49Leo Alhamisi tarehe 29 Julai mwaka 2021 inayosadifiana na tarehe 18 Dhul-hija mwaka 1442 Hijria ni Sikukuu ya Idd Sayyid Ghadir Khum, moja ya Idd kubwa za Waislamu.
-
Kusambaratishwa mtandao wa vibaraka wa shirika la ujasusi la Israel: Thibitisho la kuwa macho walinda amani wa usalama wa taifa
Jul 28, 2021 21:49Maafisa wa usalama wa Iran wametekeleza vizuri jukumu lao la kufuatilia na kudhibiti habari za kiusalama na intelijensia nje ya mipaka ya nchi, na hatimaye kufanikiwa kusambaratisha mtandao wa vibaraka wanaohudumia shirika la ujasusi la utawala haramu wa Israel, Mosad, ambao walikuwa wamejizatiti kwa zana na silaha nzito kwa nia ya kuingia na kufanya uharibifu nchini.
-
Kiongozi Muadhamu: Wamagharibi hawana muamana, miradi ya Iran isifungamanishwe nao
Jul 28, 2021 06:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema mipango na miradi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipaswi kufungamanishwa na ushirikiano na nchi za Magharibi, kwani imedhihirika wazi wakati wa kipindi cha serikali inayomaliza muda wake hapa nchini kwamba, kuwategemea Wamagharibi hakuna faida yoyote.
-
Iran yavunja mtandao wa magaidi wa MOSSAD
Jul 27, 2021 21:02Vikosi vya Wizara ya Intelijensia ya Iran vimefanikiwa kusambaratisha mtandao wa magaidi wa Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) magharibi mwa nchi.
-
Mazungumzo ya makamanda wa majeshi ya majini ya Iran na Russia; sisitizo la kuimarishwa ushirikiano wa baharini
Jul 27, 2021 07:24Admeri Hossein Khanzadi kamanda wa kikosi cha majini cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo katika mji wa bandari wa Saint Petersburg na Nikolai Yevmenov, Kamanda wa kikosi cha majini cha Jeshi la Russia ambapo wawili hao wamejadili njia za kupanua ushirikiano wa baharini.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar mjini Tehran; anga mpya ya kustawishwa uhusiano baina ya pande mbili
Jul 26, 2021 22:00Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Seyyid Ibrahim Raeisi, amesema Iran imethibitisha kuwa ni rafiki na mshirika mwenye muamana na wa kutegemewa na akasisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ni yenye kuwatakia mema majirani zake.
-
Meja Jenerali Salami: Fitina za maadui zimezimwa kwa ushirikiano wa wananchi na viongozi
Jul 25, 2021 22:07Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kuwa, uchonganishi na fitina za maadui vimezimwa kwa ushirikiano wa wananchi na viongozi.