-
Iran yasajili chanjo yake ya Corona COVIran Barekat katika WHO
Jul 24, 2021 20:52Mchakato wa kusajili chanjo ya kuzuia ugonjwa wa COVID-19 iliyoundwa hapa nchini Iran ya COVIran Barekat katika Shirika la Afya Duniani (WHO) umeanza.
-
Raeisi asisitiza katika mazungumzo na Sultan wa Oman: Maelewano na majirani ni kipaumbele cha serikali mpya ya Iran
Jul 25, 2021 02:11Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Seyyid Ibrahim Raeisi amesema kupanua uhusiano na Oman, kwa kuzingatia hali ya kuaminiana kisiasa iliyopo baina ya pande mbili ni lengo lililopo; na kuwa na maelewano na kufanya mazungumzo na mataifa jirani ndicho kipaumbele cha kidiplomasia katika serikali ya 13 ya Iran.
-
Marais wa Tanzania na Kenya wamtumia salamu za pongezi Rais mteule wa Iran
Jul 24, 2021 03:38Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kenya wamemtumia ujumbe Ayatullah Ibrahim Raesi wakimpongeza kwa kuibuka na ushindi katika uchaguzi wa mwezi uliopita wa Rais hapa nchini.
-
Uwepo wa kikosi cha wanamaji wa Iran katika maji ya kimataifa; dhihirisho la uwezo wa kulinda usalama baharini
Jul 23, 2021 23:23Jukumu la kikosi cha wanamaji cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kulinda mipaka ya majini na maslahi ya Iran katika bahari tofauti duniani.
-
Kiongozi Muadhamu: Viongozi washughulikie utatuzi wa matatizo ya Khuzestan kwa uzito mkubwa
Jul 23, 2021 05:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amevipa jukumu vyombo vya serikali na visivyo vya serikali kuhakikisha vinashughulikia kwa uzito mkubwa utatuzi wa matatizo na masuala ya wananchi wa mkoa wa Khuzestan, kusini magharibi mwa Iran.
-
Kiongozi Muadhamu apokea dozi ya pili ya chanjo ya Corona iliyozalishwa Iran
Jul 23, 2021 03:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amepigwa dozi ya pili ya chanjo ya kuzuia ugonjwa wa Covid-19 ambayo imetengenezwa na wataalamu wa ndani ya nchi ya COVIran Barekat.
-
Iran: Tumejitosheleza katika uzalishaji wa ndege zisizo na rubani (drone)
Jul 22, 2021 22:34Naibu Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imefikia hatua ya kujitosheleza kikamilifu katika uzalishaji wa ndege zisizo na rubani (drone).
-
Rouhani: Kuzinduliwa bomba la mafuta la Goreh-Jask ni majibu mwafaka kwa njama za maadui
Jul 22, 2021 06:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mradi mkubwa wa bomba la mafuta la Goreh-Jask ni katika fakhari za kitaifa za Iran na kwamba kufunguliwa mradi huo ni jibu kali na halisi la njama zote za maadui hasa Marekani.
-
Rouhani: Iran na Uturuki ni madola mawili makubwa ya Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 22, 2021 03:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki na mbali na kumpa mkono wa Idi, yeye, serikali na wananchi wa Uturuki amesema kuwa, nchi hizi mbili ni madola makubwa katika eneo hili na kwenye Ulimwengu wa Kiislamu na zina nafasi muhimu katika utatuzi wa matatizo ya eneo hili zima.
-
Raeisi: Kulinda haki za wanadamu ni msingi wa siasa za Jamhuri ya Kiislamu
Jul 21, 2021 22:41Rais mteule wa Iran amesema kuwa, kulinda haki za wanadamu ndiyo msingi wa siasa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.