-
Raeisi: Kulinda haki za wanadamu ni msingi wa siasa za Jamhuri ya Kiislamu
Jul 21, 2021 22:41Rais mteule wa Iran amesema kuwa, kulinda haki za wanadamu ndiyo msingi wa siasa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na waziri mwenzake wa Togo
Jul 21, 2021 21:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa Togo na nchi mbili hizi zimetilia mkazo wajibu wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili katika nyuga zote.
-
Sala ya Idul-Adhha yasaliwa kote nchini Iran kwa kuzingatia miongozo ya kiafya ya kujiepusha na corona
Jul 21, 2021 03:24Sala ya Idul-Adhha imesaliwa katika kila pembe ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo, huku waumini wakizingatia miongozo ya kiafya ya kujihadhari na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
-
Msimamo wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kudhalilishwa Marekani huko Afghanistan
Jul 21, 2021 02:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema ufahamu usio sahihi wa Marekani meifanya idhalilishwe nchini Afghanistan.
-
Rais Rouhani atuma salamu za kuwatakia kheri na baraka viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Idul-Adhha
Jul 20, 2021 22:52Rais Hassan Rouhani ametuma salamu maalumu kwa viongozi wa nchi za Kiislamu kuwatakia kheri na baraka kwa mnasaba wa kuadhimisha Sikukuu ya Mfunguo Tatu ya Idul-Adhha.
-
Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa uhusiano wa Iran na Kenya
Jul 20, 2021 06:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitia kuimarisha uhusinao baina ya nchi mbili za Iran na Kenya wakati alipopokea hati ya utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Kenya mjini Tehran.
-
Ujumbe wa Hija wa Kiongozi wa Mapinduzi kwa Waislamu Duniani; sisitizo la mapambano dhidi ya madola ya kichokozi na hasa Marekani.
Jul 20, 2021 06:22Katika ujumbe wake wa Hija kwa Waislamu duniani, Ayatullah Ali Khamanei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria kuendelea kuhuzunika nyoyo za Wailsmu walio na hamu kubwa ya kwenda kuzuru Nyumba ya Mwenyezi Mungu, al-Kaaba, kutokana na janga la corona na kusema kuwa huo ni mtihani wa muda tu ambao utamalizika kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele.
-
Rais Rouhani ataka kuimarishwa ushirikiano na Nigeria katika nyanja za kimataifa
Jul 20, 2021 03:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuimarishwa zaidi ushirikiano wa Tehran na Abuja.
-
Rais Rouhani: Hakuna kizuizi cha kupanuliwa ushirikiano baina ya Iran na Qatar
Jul 19, 2021 10:57Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Qatar zikiwa nchi mbili za Kiislamu zina uhusiano mzuri.
-
Khatibzadeh: Marekani inafungamanisha masuala ya kibinadamu na malengo ya kisiasa
Jul 19, 2021 06:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa mazungumzo kuhusu kubadilishana wafungwa yamefanyika kwa nyakati tofauti huko Vienna na kusisitiza kuwa kile inachofanya Marekani ni kufungamanisha kadhia ya kibinadamu na malengo ya kisiasa.