-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Muqawama ndio njia ya kufidia kubaki nyuma nchi za Kiislamu
Jul 19, 2021 02:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, muqawama ndio njia ya kufidia kubaki nyuma kimaendeleo nchi za Kiislamu na akasisitiza kuwa, eneo lote la Kiislamu ni uwanja wa kusimama kifua mbele muqawama kukabiliana na ukhabithi wa Marekani na washirika wake.
-
Uzushaji tuhuma dhidi ya Iran; kurudiwa kila mara na Marekani siasa za ‘majitaka’ zilizogonga mwamba
Jul 18, 2021 05:29Katika kipindi cha siku chache zilizopita tumeshuhudia wimbi jengine jipya la propaganda chafu za Marekani dhidi ya Iran.
-
Khatibzadeh: Iran iko tayari kutekeleza makubaliano ya kubadilishana wafungwa
Jul 18, 2021 03:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu madai ya viongozi wa Marekani akisisitiza kuwa: Iran leo iko tayari kutekeleza makubaliano ya kubadilishana wafungwa.
-
Shahryari: Ushirikiano wa chuo cha kidini cha Qum na Al-Azhar una faida kwa Waislamu duniani
Jul 17, 2021 03:43Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema, uhusiano na ushirikiano imara baina ya Chuo cha Kidini cha Qum na cha Al Azhar cha Misri unaweza kuwa na matokeo chanya na yenye faida kwa Waislamu duniani katika kupambana na ukufurishaji na misimamo ya kufurutu mpaka.
-
Zarif: Marekani inaficha uhalifu wake kwa kuzitupia tuhuma nchi nyingine
Jul 16, 2021 22:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu propaganda chafu mpya za Marekani ndhidi ya Iran na kuishauri Washington ishughulikie masuala ya ndani ya nchi hiyo badala ya kuzitupia tuhuma nchi nyingine.
-
Zarif: Vikwazo havijawa na athari kwa maendeleo ya nyuklia ya Iran
Jul 15, 2021 03:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemshauri rais wa Marekani aangalie takwimu na tarakimu zinazoonyesha kuwa vikwazo havijawa na athari kwa upigaji hatua za maendeleo Iran katika sekta ya nyuklia.
-
Rouhani: Iran ina uwezo wa kurutubisha urani hadi kiwango cha asilimia 90
Jul 14, 2021 20:51Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria historia ya kuidhinishwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusema: "Sekta yetu ya nyuklia imebaki kuwa yenye nguvu na hilo limedhihirika zaidi katika miezi ya hivi karibuni."
-
Kujichukulia maamuzi ya upande mmoja, changamoto ya dunia nzima
Jul 14, 2021 20:47Tabia ya baadhi ya madola ya kujichukulia maamuzi ya upande mmoja (unilateralism) sasa imekuwa tishio katika upeo wa kimataifa, na njia ya kukabiliana na tishio hilo ni hatua shirikishi na za pamoja katika upeo wa dunia nzima na kuimarisha utamaduni wa kuchukua maamuzi shirikishi (multilateralism) hususan katika masuala ya kimataifa.
-
Zarif asisitiza: "Vikwazo vya kulemaza" vya Marekani vimefeli na kugonga mwamba
Jul 14, 2021 08:02Waziri wa Mashauri wa Kigeni wa Iran amesema kuwa vikwao vya Marekani dhidi ya Iran vilivyotajwa kuwa ni vya kulemaza vimefeli na kushindwa.
-
Ibrahim Raeisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuitetea Palestina
Jul 14, 2021 03:15Sayyid Ibrahim Raeisi, Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kuiunga mkono na kuitetea nchi ya Palestina.