-
Ibrahim Raeisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuitetea Palestina
Jul 14, 2021 03:15Sayyid Ibrahim Raeisi, Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kuiunga mkono na kuitetea nchi ya Palestina.
-
Madai yasiyo na msingi ya Katibu Mkuu wa NATO dhidi ya Iran; kuushabikia utawala haramu wa Israel
Jul 13, 2021 23:38Katibu Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa NATO ametoa madai yasiyo na msingi kuhusiana na uwezo wa kiulinzi na kisilaha wa Iran.
-
Mishkini: Magharibi ikomeshe sera za undumakuwili mkabala na ugaidi
Jul 13, 2021 23:36Msemaji wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa, nchi za Magharibi zinapasa kukomesha mienendo yake ya undumakuwili kuhusiana na ugaidi.
-
Ulaya na misimamo ya kinafiki kuhusu haki za binadamu na mapambano dhidi ya ugaidi
Jul 12, 2021 22:10Balozi wa Slovenia mjini Tehran Jumapili iliyopita aliitwa na kusailiwa katika Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran na kukabidhiwa malalamiko ya Tehran dhidi ya matamshi yasiyo na mantiki na tuhuma zisizo na msingi zilizotolewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Abiy Ahmed: Hatuzungumzi na yeyote kuhusu manufaa yetu ya kitaifa ya bwawa la al Nahdha
Jul 12, 2021 22:06Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema baada ya kupata ushindi chama chake katika uchaguzi wa Bunge kwamba, kabla ya bwawa la al Nahdha kuwa na manufaa ya uzalishaji wa nishati, lina manufaa makubwa zaidi kwa Ethiopia katika kutangaza nguvu na mshikamano wa wananchi wake.
-
Khatibzadeh: Vikwazo vya Marekani inabidi viondolewe kwa sura inayohisika
Jul 12, 2021 22:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa, vikwazo vya Marekani inabidi viondolewe kwa sura inayohisika akisisitiza kuwa, tayari hivi sasa matini za makubaliano ya kufufua mapatano ya nyuklia ya JCPOA zimeshakuwa ndefu na sehemu zinazohitajia kukamilishwa pia zipo lakini hali yake imeshajulikana.
-
Chanjo milioni 10 za corona kutolewa Iran hadi mwishoni mwa wiki hii
Jul 11, 2021 21:57Naibu Waziri wa Afya na Tiba wa Iran amesema kuwa dozi milioni kumi za corona zimetolewa nchini.
-
Khatibzadeh: Mipaka ya Iran na Afghanistan ina utulivu na ni salama
Jul 09, 2021 22:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, hakuna machafuko wala ukosefu wa amani katika mipaka ya Iran na Afghanistan.
-
Waziri Mkuu wa Syria aonana na Ujumbe maalumu wa Iran mjini Damascus
Jul 09, 2021 08:28Waziri Mkuu wa Syria, leo Ijumaa ameonana na ujumbe maalumu wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) na kuhimiza kuimarishwa zaidi na zaidi uhusiano wa kibunge baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi ndugu ya Syria.
-
Takht-Ravanchi: Vikwazo vya dawa na vifaatiba ni jinai ya kivita
Jul 09, 2021 03:14Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa vikwazo vya Marekani vinazuia kufikishwa vifaatiba, dawa, teknolojia na ushirikiano wa Iran na taasisi za kifedha za kimataifa na ametoa wito wa kukomeshwa haraka vikwazo hivyo.