-
Ayatullah Khamenei: Ahmad Jibril alisabilia maisha yake kwa ajili ya ukombozi wa Palestina
Jul 08, 2021 23:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametuma salamu za rambirambi kwa taifa la Palestina kutokana na kufariki dunia Katibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Palestina (PFLP—GC), Ahmad Jibril.
-
Makamu wa Rais: Iran ndio nchi inayoongoza kisayansi na kiteknolojia katika eneo
Jul 08, 2021 23:11Makamu wa Rais anayehusika na masuala ya sayansi na teknolojia amesema, ijapokuwa Iran ilijiwekea malengo ya kuwa dola linaloongoza katika sekta za sayansi na teknolojia ifikapo mwaka 1404 hijria shamsia, lakini hivi sasa tayari imeshalifikia lengo hilo muhimu.
-
Taarifa ya Kikao cha Mazungumzo Baina ya Waafghani mjini Tehran
Jul 08, 2021 06:31Mazungumzo ya amani ya Afghanistan ambayo yamekuwa yakifanyika baina ya Waafghani hapa Tehran kwa siku mbili yamemalizika kwa kutolewa taarifa ya pamoja.
-
Mazungumzo baina ya Waafghani; njia pekee ya kutatua matatizo na changamoto zilizopo
Jul 08, 2021 05:46Mazungumzo ya pande tatu kati ya jumbe za Afganistan na Iran yamefanyika mjini Tehran kwa madhumuni ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa nchi hiyo kwa kutegemea mazungumzo baina ya makundi tofauti ya nchi hiyo.
-
Rais Rouhani: Hii ndiyo sababu ya Iran kushinda vita vya kiuchumi ilivyotwishwa na Marekani
Jul 07, 2021 08:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, sababu kuu iliyolifanya taifa la Iran liishinde Marekani katika vita vya kiuchumi ilivyoitwisha Tehran, ni kustawishwa sekta ya viwanda humu nchini.
-
Iran: Mazungumzo yetu na Saudi Arabia yanaendelea vizuri
Jul 06, 2021 06:51Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mazungumzo baina ya Iran na Saudi Arabia yanaendelea vizuri na hadi hivi sasa mazungumzo hayo yamefanyika kaika anga ya urafiki na maelewano na tunataraji kuwa mazungumzo hayo yatapunguza kwa kiwango kikubwa hitilafu baina ya pande mbili.
-
Khateebzadeh: Misimamo ya Iran kuhusu JCPOA haibadiliki kwa kubadilika serikali
Jul 06, 2021 03:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa, kubadilika kwa serikali hakutasababisha mabadiliko yoyote katika misimamo ya Iran kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Julai 4, tarehe ya kutekwa nyara wanadiplomasia wa Iran nchini Lebanon; maswali yaliyosalia bila majibu
Jul 05, 2021 22:44Tarehe nne Julai 1982 wanadiplomasia wanne wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran walitekwa nyara nchini Lebanon.
-
Namaki: Kasi ya maambukizi ya kirusi cha corona cha India ni ya juu sana kuliko kile cha Uingereza
Jul 05, 2021 21:58Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, virusi vya corona vya India na Afrika Kusini viliingia Iran miezi miwili iliyopita.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan azungumza kwa simu na Rais mteule wa Iran
Jul 05, 2021 02:36Waziri Mkuu wa Pakistan, amefanya mazungumzo ya simu na Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.