-
Iran: Israel inabeba dhima ya kutekwa wanadiplomasia wa Kiirani Lebanon
Jul 04, 2021 22:24Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake ndio wanaobeba dhima ya kisiasa na kisheria kuhusu hatima ya wanadiplomasia wanne wa Kiirani waliotekwa nyara nchini Lebanon mwaka 1982.
-
Zarif: Ukatili wa Marekani dhidi ya watu wa Iran unaendelezwa kwa ugaidi wa kiuchumi
Jul 04, 2021 08:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria namna Marekani ilivyowaua raia wasio na hatia kwa kutungua kwa kombora ndege ya abiria ya Iran Air na kuandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa: "Ukatili wa Marekani dhidi ya watu wa Iran sasa unaendelezwa kupitia ugaidi wa kiuchumi."
-
Usafirishaji nje bidhaa za Iran waongezeka kwa asilimia 68
Jul 03, 2021 22:07Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Biashara ya Iran amesema kuwa, usafirishaji nje bidhaa za Iran umeongerzka kwa asilimia 68 katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzoni mwa mwaka huu wa 1400 wa Hijria Shamsia ikilinganishwa na wakati kama huu katika mwaka uliopita wa Kiirani.
-
Rouhani: Marekani iwajibishwe kwa kutungua ndege ya abiria ya Iran
Jul 03, 2021 08:11Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kutoomba radhi kwa kushambulia ndege ya abiria ya Jamhuri ya Kiislamu mwaka 1988 katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa, Washington inapaswa kubebeshwa dhima kwa kuwaunga mkono waliotenda jinai hiyo.
-
Amir Abdollahian: Israel haina nafasi katika mustakabali wa Asia Magharibi
Jul 03, 2021 03:43Hossein Amir-Abdollahian, mshauri maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema: "Utawala wa Israel hautakuwa na nafasi yoyote katika mustakabali wa eneo (la Asia Magharibi).
-
Kuhuishwa JCPOA kunategemea maamuzi magumu ya Marekani na Ulaya
Jul 02, 2021 22:15Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema sasa wakati umewadia kwa Marekani na nchi tatu za Ulaya kuchukua maamuzi magumu kwa ajili ya kuanza kufungamana tena kikamilifu na mapatano ya kimataifa ya nyuklia, JCPOA.
-
Iran inaendelea kuuza nje mafuta yake licha ya vikwazo vya Marekani
Jul 02, 2021 02:12Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya kuweko vikwazo vikali vya Marekani dhidi ya Iran, lakini Tehran inaendelea kuzalisha na kuuza nje mafuta yake.
-
Iran: Nchi za Magharibi zimehodhi chanjo ya corona na sasa ni vigumu nchi nyingine kupata
Jul 02, 2021 02:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kitendo cha nchi za Magharibi cha kukosa utu na kujikumbizia wao tu chanjo ya corona kumelifanya suala la kupata chanjo za nje kuwa gumu sana.
-
Rouhani: Njia pekee ya kujiepusha na wimbi la tano la corona ni kufuata kikamilifu protokali za afya
Jul 01, 2021 22:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, njia pekee ya kujiepusha na wimbi la tano la maambukizi ya Covid-19 ni kufuata kikamilifu protokali za afya.
-
Rouhani: Kila mwaka Iran huchimbua tani milioni 590 za madini nchini
Jul 01, 2021 06:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kila mwaka Iran huchimbua tani 590 za madini nchini na hivyo sekta hii ina nafasi muhimu katika kubuni ajira kwa vijana.