-
Kiongozi Muadhamu amteua Mohseni-Ejei kuwa Mkuu mpya wa Vyombo vya Mahakama Iran
Jul 01, 2021 03:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemteua Gholamhossein Mohseni-Ejei kuwa Mkuu mpya wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Waliovunja ahadi wanapaswa kufanya maamuzi magumu
Jul 01, 2021 03:13Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema wale ambao walivunja ahadi zao ndio wanaopaswa kubainisha iradi yao ya kisiasa na ndio wanaopaswa kuchukua maamuzi magumu.
-
Rais Rouhani: Biden anawasaliti wananchi wa Marekani
Jun 30, 2021 06:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema iwapo Rais Joe Biden wa Marekani atafeli kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama alivyoahidi, basi atakuwa amewasailiti wananchi wa Marekani ambao walimpigia kura wakitaka kuona mabadiliko ya sera ghalati dhidi ya Iran za mtangulizi wake, Donald Trump.
-
Jebeli: Kitendo cha Marekani cha kufunga tovuti za muqawama kimeongeza umaarufu wa vyombo hivyo vya habari
Jun 30, 2021 01:59Mkuu wa Kitengo cha Kimataifa cha Sauti na Televisheni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesisitiza kuwa, kitendo cha Marekani cha kuzifungia tovuti za kambi ya muqawama kimezidisha hamu ya vyombo hivyo vya habari kufanya kazi kwa bidii zaidi kwa ajili ya kukabiliana na vitendo viovu vya Marekani kama ambavyo kunazidi kuvifanya vyombo vya muqawama vishirikiane zaidi.
-
Chanjo ya pili ya corona iliyotengenezwa Iran, nayo yapata kibali
Jun 29, 2021 22:46Waziri wa Afya na Mafunzo ya Utabibu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza habari ya kupewa kibali chanjo ya pili ya kupambana na ugonjwa wa corona au COVID-19.
-
Ali Asghari: Vyombo vya habari vya muqawama vinaendeleza njia yake kwa nguvu zaidi kuliko kawaida
Jun 29, 2021 07:01Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Idhaa na Televisheni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) ameashiria ukwamishaji wa ubeberu wa kimataifa na Uzayuni chini ya uongozi wa Marekani katika kukabiliana na vyombo vya habari vya muqawama na kueleza kuwa vyombo hivyo vitaendeleza njia yake kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa huko nyuma.
-
Rais Rouhani: Kuna udharura wa kustafidi na vyanzo vya fedha za kigeni kuharakisha chanjo kwa wote
Jun 29, 2021 06:46Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika kikao cha Kamati ya Serikali ya Uratibu wa Masuala ya Uchumi juu ya udharura wa kustafidi na vyanzo vya fedha za kigeni ili kuharakisha utoaji chanjo kwa wote.
-
Jenerali Sharif: Adui amekatishwa tamaa na kufeli vikwazo vyake vya kiuchumi dhidi ya Iran
Jun 28, 2021 22:10Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, adui amekatishwa tamaa na vikwazo vyake vya kiuchumi kutokana na muqawama na kusimama imara taifa la Iran kukabiliana na vikwazo hivyo.
-
Ujumbe wa gwaride kubwa la kijeshi la 'Idi ya Hashd'
Jun 28, 2021 22:10Harakati ya wapiganaji wa kujitolea wa wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi imefanya gwaride kubwa lililopewa jina la 'Idi ya Hashd' siku ya Jumamosi 26 Juni kwa mnasaba wa mwaka wa saba wa kuanzishwa kwake.
-
Kiongozi Muadhamu: Uchaguzi wa rais nchini ulifanyika kwa hamasa kubwa
Jun 28, 2021 06:38Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo amesema kuwa wananchi wa Iran ndio washindi halisi wa uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi huu katika mazingira ya maambukizi ya corona na matatizo ya kiuchumi na kwamba wamemfanya adui na vibaraka wake washindwe na kufeli.