-
Mkuu wa OPCW: Ninajua vyema machungu ya waathirika wa silaha za kemikali nchini Iran
Jun 28, 2021 03:33Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) ametuma ujumbe kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mashambulizi ya utawala wa dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein dhidi ya eneo la Sardasht nchini Iran na kutangaza mshikamano wake na watu wa mji huo.
-
Araqchi: Ni muda wa pande nyingine husika ndani ya JCPOA kuchukua maamuzi
Jun 27, 2021 22:01Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, sasa ni wakati wa pande nyingine husika ndani ya mapatano ya JCPOA kuchukua maamuzi, na kwamba nchi hizo zinapasa kuchukua maamuzi magumu.
-
Wairani milioni 60 kupata chanjo ya corona hadi kufikia msimu wa vuli mwaka huu
Jun 27, 2021 10:52Mkuu wa Shirika la Dawa na Chakula katika Wizara ya Afya na Tiba ya Iran amesema kuwa, kwa mujibu wa mpango ulioandaliwa na serikali, hadi kufikia msimu wa vuli wa mwaka huu wa ya Kiirani, watu milioni 60 nchini watakuwa wamepewa chanjo dhidi ya virusi vya corona.
-
Spika wa Bunge la Iran: AEOI haitaikabidhi IAEA video za taarifa zake
Jun 27, 2021 03:40Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) halitaukabidhi Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) video zilizonakili taarifa za taasisi hiyo ya Iran, kwa kuwa muhula uliokuwa umeainishwa umemalizika, wala haujarefushwa tena.
-
Jeshi la Iran kuzindua mfumo mpya wa makombora wa 'Joshan'
Jun 27, 2021 02:55Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mfumo mpya wa makombora wa Joshan utaanza kufanya kazi kabla ya kumalizika mwaka huu wa Kiirani.
-
Iran yaishauri Marekani iachane na turathi zilizofeli za Trump
Jun 26, 2021 23:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ingali inaamini kuwa ni jambo linalowezekana kufikia makubaliano katika mazungumzo ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA huko Vienna, iwapo utawala wa sasa wa Marekani utaamua kuweka pembeni sera na turathi zilizogonga mwamba za aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Mwangwi wa chanjo ya corona ya COVIran Barekat aliyopewa Kiongozi Mkuu wa Iran
Jun 26, 2021 22:10Chanjo ya corona aliyopewa Kiongopzi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ambayo imetengenezwa na wataalanu wa ndani ya nchi ya COVIran Barekat imezusha mwangwi mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
-
Rais Rouhani: Kiongozi Muadhamu amewapa motisha wanasayansi kwa kupigwa chanjo ya Iran
Jun 26, 2021 08:18Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema hatua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya kupigwa chanjo ya Corona ya COVIran Barekat imewapa motisha na kuwashajiisha wanasayansi wa Jamhuri ya Kiislamu walioizalisha chanjo yenyewe.
-
Iran yakanusha madai kuwa iliomba uanachama katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Jun 25, 2021 22:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Tehran haikuomba uanachama katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kwamba madai yoyote yanayotolewa kuhusu suala hilo hayana msingi wowote.
-
Ayatullah Khamenei apewa dozi ya kwanza kabisa ya chanjo ya corona ya COVIran Barekat iliyotengenezwa hapa nchini
Jun 25, 2021 05:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo Ijumaa amedungwa dozi ya kwanza kabisa ya chanjo ya corona ya COVIran Barekat na kusema kuwa: Kuna ulazima wa kuthamini na kuenzi fahari hii ya taifa ya kuzalisha chanjo ya Kiirani ya corona.