-
Rais Rouhani: Iran ni nchi ya kwanza duniani kwa kusambaza gesi maeneo mengi nchini
Jun 24, 2021 08:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ni ya kwanza duniani kwa mafanikio ya kusambaza gesi katika kila kona ya nchi kwa ajili ya matumizi ya watu wake.
-
Iran yataka kuondolewa vikwazo taifa la Syria
Jun 24, 2021 03:22Balozi na Naibu Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa iandae mazingira ya kuondolewa vikwazo vya kikatili dhidi ya taifa la Syria, ambavyo vimewaathiri mno wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Iran yazima jaribio la kushambuliwa shirika lake la nishati ya atomiki
Jun 23, 2021 22:36Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetibua njama za kuhujumiwa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya nchi hii mjini Karaj, nje kidogo ya mji mkuu Tehran.
-
Taarifa ya IRIB ya kulaani hatua ya Marekani kuteka tovuti za habari za Iran
Jun 23, 2021 08:37Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) limetoa taarifa na kulaani hatua ya tovuti zake kadhaa na za mrengo wa muqawama kufungwa na serikali ya Marekani na kusema kitendo hicho ni ukiukwaji wa wazi wa uhuru wa maoni na ni hujuma dhidi ya vyombo huru vya habari.
-
Iran yakosoa hatua ya Marekani ya kufunga tovuti za IRIB
Jun 23, 2021 08:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa hatua ya Marekani ya kufunga tovuti kadhaa za Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) na kusema hiyo ni njama ya kuvuruga uhuru wa moani.
-
Rais Rouhani: Jamhuri na Uislamu ni nguzo mbili muhimu za utawala wa Kiislamu wa Iran
Jun 23, 2021 03:49Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, "Jamhuri" na "Uislamu" ni nguzo mbili muhimu za mfumo unaotawala nchini Iran na kwamba juhudi kubwa zinapaswa kufanywa kwa ajili ya kulinda nguzo hizo bili.
-
Raeisi: Serikali yangu itajikita zaidi katika kuwahudumia wananchi
Jun 22, 2021 22:32Rais mteule wa Iran amesema, katika serikali na utawala wa Kiislamu wafanyakazi wote wanapaswa kujitambua kuwa ni mahadimu na watumishi wa wananchi.
-
Chanjo ya Corona inayoundwa na IRGC ya Iran kuzinduliwa karibuni
Jun 22, 2021 21:59Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 iliyozalishwa na Chuo Kikuu cha Sayansi za Tiba cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) itazinduliwa ndani ya siku chache zijazo.
-
Buhari ampongeza rais mteule wa Iran, asema Wairani wameonesha mafanikio ya demokrasia
Jun 22, 2021 06:29Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amemtumia ujumbe rais mteule wa Iran, Hujjatul Islam Walmuslimin Ebrahim Raeisi akimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rabei: Mahudhurio ya Wairani katika uchaguzi yametoa jibu la "hapana" kwa propaganda za kususiwa zoezi hilo
Jun 22, 2021 06:27Msemaji wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mahudhurio ya wananchi katika zoezi la kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji wa Ijumaa iliyopita yametoa jibu la "hapana" kwa waliotoa wito wa kususiwa zoezi hilo ambao kwa hakika wanashirikiana na maadui walioliwekea vikwazo taifa la Iran.