-
Rais Rouhani: Marekani haina budi kusalimu amri mbele ya muqawama wa taifa la Iran
Dec 02, 2020 07:40Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kushindwa 'siasa za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa' ni jambo ambalo linaifanya serikali mpya ijayo nchini humo isiwe na budi ila kusalimu amri mbele ya muqawama na kusimama kidete taifa hili la Kiislamu.
-
Undumakuwili katika mapambano dhidi ya ugaidi; siasa zitakazopelekea kufeli mapambano hayo
Dec 02, 2020 06:02Mapambano dhidi ya ugaidi yanahitajia azma thabiti ya jamii ya kimataifa lakini dalili na mienendo iliyopo inaonyesha wazi kwamba hakuna azma ya aina hiyo kwa sasa katika ngazi za kimataifa.
-
Rouhani atuma ujumbe UN; aitolea wito jamii ya kimataifa kukabiliana na utawala wa Kizayuni
Dec 01, 2020 23:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wananchi wa Palestina na kuitolea mwito jamii ya kimataifa kukabiliana na hatua za utawala wa Kizayuni unaouwa watoto.
-
Mbunge: Baadhi ya wakaguzi wa IAEA nchini Iran walikuwa wakiifanyia ujasusi CIA
Dec 01, 2020 23:01Mjumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge la Iran amesema idadi kubwa ya wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA waliokuwako hapa nchini walikuwa majasusi na walilipatia Shirika la Ujasusi la Marekani CIA taarifa za wanasayansi wa Iran.
-
Rouhani: Adui ameghadhibika baada ya kushindwa kuangamiza uchumi wa Iran
Dec 01, 2020 09:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kusambaratika 'mashinikizo ya juu zaidi' ya Marekani dhidi ya Iran na kusema adui ameghadhibika baada ya kushindwa kufikia lengo lake la kuangamiza uchumi wa Iran.
-
Shirika la Atomiki la Iran latakiwa kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa zaidi ya asilimia 20
Dec 01, 2020 09:23Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamelitaka Shirika la Atomiki la Iran kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa zaidi ya asilimi 20 kwa ajili ya matumizi ya amani.
-
Iran ni nchi pekee iliyo na benki ya macho katika eneo la Asia Magharibi
Dec 01, 2020 04:43Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba cha Shahidi Beheshti cha hapa nchini amesema kuwa benki pekee inayoshughulikia matatizo ya macho katika eneo la Asia magharibi ni ya Iran.
-
Gharib Abadi: IAEA inapasa kutangaza wazi msimamo wake kuhusu mauaji ya kigaidi ya Shahidi Fakhrizadeh
Dec 01, 2020 04:23Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika taasisi za kimataifa zenye makao yake huko Vienna Austria ameutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) kutangaza wazi msimamo wake kuhusu mauaji ya kigaidi ya Shahid Dakta Mohsen Fakhrizadeh mwanasayansi mkubwa wa nyuklia na masuala ya ulinzi wa Iran.
-
Spika wa Bunge la Iran ataka kuadhibiwa waliohusika na mauaji ya shahid Fakhrizadeh
Dec 01, 2020 01:09Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran ametilia mkazo haki isiyopingika ya Tehran ya kuwafuatilia na kuwaadhibu wote waliotoa amri ya kuuliwa kigaidi mwanasayansi wa nyuklia wa Iran na masuala ya kijeshi, shahid Mohsen Fakhrizadeh.
-
Imethibiti Israel na Munafikina (MKO) wamehusika katika mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran
Nov 30, 2020 10:31Utawala wa Kizayuni wa Israel na genge la kigaidi la Munafikina (MKO) wamehusika katika mauaji ya mwanasayansi mkubwa wa nyuklia wa Iran.