-
Waziri wa Ulinzi: Hakuna jinai, mauaji na kitendo chochote cha kijinga kitakachofanywa bila kujibiwa
Nov 30, 2020 08:18Waziri wa Ulinzi wa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, hakuna jinai, mauaji na kitendo chochote cha kijinga litakakachofanyiwa taifa la Iran ambacho kitaachwa bila kujibiwa.
-
Shughuli za maziko ya shahidi Fakhrizadeh zafanyika mjini Tehran
Nov 30, 2020 04:03Shughuli ya maziko ya mwili wa shahid Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi mkubwa wa nyuklia na masuala ya kijeshi wa Iran imeanza leo Jumatatu kwa kuchungwa protokali zote za kiafya ili kujiepusha na maambukizi ya corona.
-
Mauaji ya kiuoga ya mwanasayansi wa Iran na wajibu wa taasisi za kimataifa
Nov 30, 2020 01:05Ikiwa ni katika kudumisha hatua zake za kijinai na kigaidi dhidi ya taifa la Iran, Ijumaa tarehe 27 Novemba utawala wa Kizayuni wa Israel ulitekeleza mauaji mengine ya kigaidi dhidi ya Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi bora na mashuhuri wa Iran, katika mji wa Abesard, mkoani Tehran.
-
Oman yatoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iran
Nov 30, 2020 01:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman ametoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iran baada ya kuuawa kigaidi, mwanasayansi mkubwa wa nyuklia na masuala ya kijeshi wa Iran, shahidi Mohsen Fakhrizadeh.
-
Iran yataka Baraza la Usalama la UN lichunguze mauaji ya Fakhrizadeh
Nov 29, 2020 08:50Naibu Waziri wa Sheria wa Iran ametoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchunguza mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran shahidi Mohsen Fakhrizadeh.
-
Namaki: Hali ya wagonjwa wa COVID-19 Iran inaboreka
Nov 29, 2020 08:42Waziri wa Afya wa Iran amesema hali ya wagonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran inaboreka.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kuadhibiwa vikali wahusika wa mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi bora wa nyuklia na ulinzi wa Iran
Nov 29, 2020 05:24Mauaji ya kigaidi yaliyotekelezwa Ijumaa ya tarehe 27 Novemba dhidi ya Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi wa sekta ya nyuklia na ulinzi ya Iran, kwa mara nyingine yamethibitisha kwamba maadui wa Iran wameazimia kutoa pigo dhidi ya mradi wa usalama na elimu wa Iran ambao ni msingi muhimu katika kuimarisha nguvu ya taifa hili.
-
Walimwengu wapaza sauti kulaani mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran
Nov 29, 2020 04:20Mataifa na viongozi mbalimbali wa dunia wameendelea kulaani mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran na kusisitiza kuchukuliwa hatua waliohusika na jinai hiyo.
-
'Mauaji na vikwazo ni pande mbili za sarafu moja ya mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya taifa la Iran'
Nov 29, 2020 00:00Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama ya Iran amesema, mauaji na vikwazo ni pande mbili za sarafu moja ya sera za mashinikizo ya juu ya kabisa dhidi ya taifa la Iran.
-
Rais Rouhani: Taifa la Iran litalipiza kisasi cha kuuliwa kigaidi, shahid Fakhrizadeh
Nov 28, 2020 08:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, maadui wote watambue kwamba, wananchi na viongozi wa Iran ni mashujaa na wenye ghera kubwa, hivyo lazima watalipiza kisasi cha vitendo vya jinai linavyofanyiwa taifa hili la Kiislamu.