-
Kharrazi: Siasa potofu za Marekani na Ulaya zitasambaratisha JCPOA
Jul 03, 2020 07:34Mkuu wa Baraza la Stratejia za Uhusiano wa Kigeni nchini Iran amesema siasa zisizo sahihi za Marekani na nchi za Ulaya dhidi ya Tehran hazitafua dafu, na kinyume chake, zitapelekea kusambaratika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Marekani yaanzisha chokochoko mpya za kutaka kuzizuia meli za Iran zisipeleke mafuta Venezuela
Jul 03, 2020 03:41Baada ya Marekani kushindwa katika chokochoko zake za karibuni za kutaka kuzuia meli za mafuta za Iran zisiingie na kutia nanga katika bandari ya Venezuela, tayari imeshaanzisha chokochoko nyingine mpya za kuzuia muamala halali na wa kisheria wa biashara kati ya nchi hizo mbili.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Ghuba ya Uajemi imeshuhudia jinai za Marekani kwa muda mrefu
Jul 02, 2020 07:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoaa taarifa kwa mnasaba wa kukumbuka jinai ya Marekani ya kutungua kwa makusudi ndege ya abiria ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema: "Kwa muda mrefu Ghuba ya Uajemi imekuwa ikishuhudia jinai za Marekani."
-
Qalibaf: Iran itasimama na Palestina katika kukabiliana na jama za Marekani na Israel
Jul 02, 2020 07:45Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitiza kuhusu mapambano na kusimama kidete taifa la Palestina katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mchakato wa Astana; hakikisho la kupatikana amani, utawala huru na mamlaka ya kitaifa ya Syria
Jul 02, 2020 07:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Mchakato wa Astana ungali ndio mpango pekee uliofanikiwa kusaidia kutatua mgogoro wa Syria kwa njia ya amani.
-
Zarif: Amani itapatikana huko Syria
Jul 02, 2020 02:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza kumalizika kikao cha Mchakato wa Astana kilichofanyika kwa njia ya video na kusisitiza kuwa amani itapatikana nchini Syria.
-
Tishio la Marekani la kutumia chaguo la nguvu za kijeshi dhidi ya Iran; kiwewe cha kushindwa kidiplomasia Washington
Jul 01, 2020 22:08Katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, Marekani imekuwa na utendaji wa chuki na hasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo ikitumia visingizo tofauti, imetishia mara chungu nzima kutumia mabavu na nguvu za kijeshi dhidi ya Tehran.
-
Spika wa Bunge la Iran atoa mwito wa kukomeshwa jinai za Israel
Jul 01, 2020 21:40Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua athirifu za kukomesha jinai za utawala haramu wa Israel, hususan mpango wa utawala huo ghasibu wa kupora ardhi zaidi za Wapalestina.
-
Rais Rouhani: Askari magaidi wa Marekani wanapaswa kuondoka magharibi mwa Asia hususan Syria
Jul 01, 2020 08:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa suala la kuheshimu mamlaka ya Syria na kujitawala nchi hiyo ni msingi mkuu ambao haupaswi kuguswa na kusisitiza kuwa, wanajeshi magaidi wa Marekani wanapaswa kuondoka eneo la magharibi mwa Asia hususan huko Syria haraka iwezekanavyo.
-
Zarif: Jamii ya Kimataifa na Baraza la Usalama la UN linawajihiana na maamuzi muhimu
Jul 01, 2020 03:37Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia kikao cha jana cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitishwa kujadili azimio nambari 2231 la baraza hilo na kusema kuwa, jamii ya kimataifa inawajihiana na maamuzi muhimu.