-
Kwa mara nyingine Marekani yala mweleka, UN yaunga mkono kwa kauli moja JCPOA
Jun 30, 2020 22:30Balozi wa Iran nchini Uingereza amesema kuwa, kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kimeonesha mshikamano thabiti baina ya wanachama wake wote ukitoa Marekani. Wanachama wa baraza hilo wameunga mkono kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA na wamelaani siasa za kibeberu za Marekani.
-
Iran iko mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi
Jun 30, 2020 22:04Msemaji wa Serikali ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko mstari wa mbele katika kupambana na kuzuia kuenea ugaidi katika eneo la Asia Magharibi na dunia nzima kwa ujumla."
-
Marais wa Iran, Russia na Uturuki kukutana leo kujadiliana mchakato wa amani Syria
Jun 30, 2020 21:58Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki leo wanashiriki katika kikao kisicho cha kawaida cha 'Mchakato wa Astana' kuhusu jitihada za kutafuta amani Syria.
-
"Saudia kuiunga mkono US kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran ni mzaha"
Jun 30, 2020 07:43Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kitendo cha Saudi Arabia cha kuiunga mkono Marekani katika jitihada zake za kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Tehran ni mzaha mchungu.
-
Iran yakaribia kuzalisha chanjo ya corona, majaribio kwa wanyama yafanikiwa
Jun 30, 2020 06:41Waziri wa Afya wa Iran ametangaza leo Jumanne kuwa wanasayansi wa humu nchini wapo mbioni kuanza kuzalisha chanjo ya ugonjwa wa COVID-19, hatua ambayo imeongeza matumaini ya kudhibitiwa kikamilifu janga la corona duniani.
-
Zarif: Marekani ni nchi ya kwanza duniani inayoziadhibu nchi zinazotii sheria
Jun 30, 2020 03:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa siasa za mabavu za Marekani ambayo yenyewe imekiuka mapatano ya nyuklia ya JCPOA na wakati huo huo inatumia mabavu kuzilazimisha nchi nyingine zikiuke sheria na kufuata nyayo zake.
-
Sisitizo la Wizara ya Mambo ya Nje kuhusu hatua maalumu za Iran kukabiliana na harakati za Marekani
Jun 30, 2020 02:47Baada ya kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA, Marekani imekuwa ikitoa kila aina ya mashinikizo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Faili la kuuawa Qassim Soleimani: Iran yatoa waranti wa kutiwa mbaroni Trump
Jun 29, 2020 23:16Mwendesha Mashtaka wa Tehran ametoa waranti wa kutiwa mbaroni watu 36 akiwemo Rais Donald Trump wa Marekani wakihusishwa na mauaji ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) Luteni Jenerali Shahid Qassem Soleimani.
-
Mousavi: Iran haina utani kabisa na mtu kuhusiana na suala la uwezo wake wa kiulinzi
Jun 29, 2020 09:55Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria pendekezo la Troika ya Ulaya ya kuongezwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran hadi mwaka 2023 na kusema kuwa, taifa hili halina mzaha kabisa na mtu yoyote yule kuhusiana na suala la uwezo wake wa kiulinzi.
-
Katika kuwakumbuka wahanga wote wa silaha za kemikali
Jun 29, 2020 04:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni moja ya wahanga wa silaha za kemikali hata hivyo haiko mbali siku moja serikali zile zilizouunga mkono utawala wa Saddam zikalazimika kuomba radhi mbele ya fikra za waliowengi kwa hatua zao za fedheha.