-
Azimio la kurefushwa vikwazo vya silaha halitaathiri nguvu za kujihami za Iran
Jun 28, 2020 23:27Meja Jenerali Hossein Salami Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema vikwazo vya silaha vya maadui havina taathira yoyote katika uuwezo wa kujihami wa Iran.
-
Iran: Ulaya na Marekani ni washirika wa kundi la kigaidi la MKO katika mauaji ya Wairani wasio na hatia
Jun 28, 2020 23:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema nchi za Ulaya na Marekani ni washirika wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) katika mauaji ya watu wa Iran.
-
Idadi ya wagonjwa wa Covid-19 waliopata afueni nchini Iran yapindukia 183,000
Jun 28, 2020 11:55Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema zaidi ya wagonjwa 183,000 walioambukizwa kirusi cha corona wamepata afueni na kuruhusiwa kutoka hospitali.
-
Udharura wa mabadiliko katika Idara ya Mahakama kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Jun 28, 2020 05:19Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumamosi alizungumza moja kwa moja kwa njia ya video na mkuu na maafisa wa ngazi za juu wa Idara ya Mahakama ya Iran ambapo alimuenzi shahidi madhulumu Ayatullah Baheshti, Shahidi Qodossi, Shahidi Ladjevardi na mashahidi wengine wa Idara ya Mahakama ya Iran.
-
Zarif: Marekani haiheshimu haki yoyote ya binadamu
Jun 28, 2020 03:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imeshindwa kuheshimu haki zozote za msingi za binadamu, na imefanya hivyo kuanzia kuupa utawala wa Iraq silaha za kemikali dhidi ya Iran hadi kuliwekea vikwazo na kulifanyia ugaidi wa kiuchumi taifa la Iran.
-
Mousavi: Marekani na Ulaya ni waungaji mkono wa jinai za kundi la kigaidi la MKO
Jun 27, 2020 22:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran jana katika kumbukumbu ya kuingia mwaka wa 40 tangu baada ya mlipuko wa kigaidi wa tarehe 7 Tir mjini Tehran amesema kuwa Marekani na Ulaya ni waungaji mkono wa jinai zinazofanywa na kundi la kigaidi la Munafikina (MKO).
-
Kiongozi Muadhamu: Matokeo ya mashinikizo ya maadui yatakuwa ni kuchezea kipigo maadui hao kutoka kwa taifa la Iran
Jun 27, 2020 07:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, matokeo ya mashinikizo ya maadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu yatakuwa ni kuchezea kipigo maadui hao kutoka kwa taifa la Iran na kulazimika kurudi nyuma.
-
SEPAH: Vikwazo vya silaha haviwezi kuathiri hali ya ulinzi ya Iran
Jun 27, 2020 07:13Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesisitiza kuwa, vikwazo vya silaha vya adui havina taathira yoyote katika hali ya ulinzi nchini Iran na kuongeza kuwa, mifumo yote ya silaha ya jeshi la nchi kavu la SEPAH imefikia katika hatua ya kujitosheleza kikamilifu.
-
Utawala wa Marekani unaongoza ugaidi wa kitiba dhidi ya Iran
Jun 27, 2020 03:49Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeikosoa vikali Marekani kwa kuongoza kampeni ya kimataifa ya kutekeleza ugaidi wa kiuchumi na kitiba dhidi ya haki za binadamu za taifa la Iran.
-
Iran: Iwapo Israel itapora ardhi zaidi za Wapalestina itapata jibu kali la wapigania ukombozi wa Palestina
Jun 26, 2020 11:43Mshauri wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mpango wake wa kupora ardhi zaidi za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.