-
Waliopata nafuu ya ugonjwa wa COVID-19 nchini Iran wakaribia watu 14,000
Mar 30, 2020 06:59Wizara ya Afya, Matibabu na Mafunzo ya Afya nchini Iran imetangaza kuwa hadi hivi sasa watu 13 elfu na 911 wameshapata nafuu kikamilifu na kuruhusiwa kurudi nyumbani kutoka hospitalini humu nchini.
-
Zarif: Marekani inafanya ugaidi wa kitiba na kiuchumi dhidi ya taifa la Iran
Mar 29, 2020 22:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumzia vita vya pande zote na visivyo na kifani vya Marekani dhidi ya taifa la Iran na kusisitiza udharura wa kukomeshwa vikwazo haramu vya serikali ya Washington.
-
Kiongozi Muadhamu apongeza kazi kubwa iliyofanyika katika "kuscan" watu Iran na kuwapima corona
Mar 29, 2020 10:06Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mpango wa "kuscan" watu nchini Iran na kuchukua vipimo vya kina kikubwa na vya hali ya juu kwa ajili ya kukabiliana na kirusi cha corona ni kazi kubwa ya kujivunia iliyofanyika na inayoendelea kufanyika humu nchini.
-
Rouhani: Iran ina nafasi nzuri duniani katika kukabiliana na corona
Mar 29, 2020 08:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ripoti iliyotolewa na Waziri wa Afya hapa nchini kuhusiana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) inaonyesha kuwa, Iran iko kwenye nafasi inayokubalika katika kutibu na kupambana na maambukizi ya virusi hivyo.
-
Katika siku ya kuzaliwa Abul Fadh'l: Ayatullah Khamenei awapongeza vilema wa vita, awataja kuwa ni mashahidi walio hai
Mar 29, 2020 06:06Sambamba na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Abul Fadh'li Abbas bin Ali bin Abi Twalib (as), na Siku ya Wenye Kijitoa Mhanga, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa taarifa akipongeza nafasi na mchango wa vilema wa vita wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Iran yatoa yuro bilioni 21 kusaidia familia na biashara zilizoathirika na Corona nchini
Mar 29, 2020 03:41Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetenga yuro bilioni 21.3 zitakazotumika kuzisaidia familia na biashara zilizoathirika na mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona hapa nchini.
-
Watu 11,000 walioambukizwa corona Iran wapata nafuu
Mar 28, 2020 23:15Wizara ya Afya imetangaza kuwa, hadi sasa watu 11,679 waliokuwa wameabukizwa virusi vya ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran wamepata nafuu na kuruhusiwa kuondoka hospitalini.
-
IRGC; nembo ya fakhari na ya kuweko mstari wa mbele katika kulinda thamani za Kimapinudzi na kuwahami wananchi wa Iran
Mar 28, 2020 08:25Leo Jumamosi tarehe 28 mwezi Machi sawa na tarehe Tatu Shaaban ni siku ya kuadhimisha kuzaliwa bwana wa mashahidi Imam Hussein (A.S) na ni siku ya mlinzi.
-
Rais Hassan Rouhani asisitiza kutekelezwa kikamilifu mipango yote ya kukabiliana na Corona
Mar 28, 2020 07:57Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ili kukabiliana na virusi vya Corona, ni lazima kutekelezwa kikamilifu na kwa uangalifu mpango wa mtengano wa kijamii nchini Iran.
-
Marekani yakataa kuachia fedha za Iran za kuiwezesha kukabiliana na corona
Mar 28, 2020 03:43Marekani imekataa katika mazingira haya tete ya janga la corona kuachia mali na fedha za Iran zitakazoiwezesha Jamhuri ya Kiislamu kukabiliana na kirusi hicho angamizi.