-
Vikwazo vipya vya Marekani; sisitizo la Washington la kuendeleza sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Mar 28, 2020 01:47Licha ya matakwa na mashinikizo ya kimtaifa ya kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran hasa kwa kuzingatia mlipuko wa virusi vya corona na kuweko ulazima wa kukabiliana navyo, lakini serikali ya Washington inasisitiza kuendeleza utendaji wake usio wa kiutu na kibinadamu.
-
Zarif: Marekani inawashikilia mateka wanasayansi wa Kiirani
Mar 27, 2020 20:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameituhumu serikali ya Marekani kwamba haiwapi wasomi na wanasayansi wa Iran wanaoshikiliwa katika jela za nchi hiyo ruhusa ya kupata matibabu licha ya wimbi kubwa la maambukizi ya sasa ya virusi vya corona.
-
Iran: Nguvu na ushawishi wa jeshi letu la SEPAH ndio unaoihamakisha Marekani
Mar 27, 2020 20:36Mkuu wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Iran ametoa ujumbe kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Husain AS ambayo hapa nchini Iran inajulikana pia kwa jina la "Siku ya Pasdar" yaani Siku ya Ulinzi na kusema kuwa, nguvu na ushawishi wa kiistratijia wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ndiyo sababu ya kuhamaki, kudhalilika na kutengwa Marekani na maadui wengine ulimwenguni.
-
Zaidi ya watu 11 elfu wapata nafuu baada ya kuugua COVID-19 nchini Iran
Mar 27, 2020 09:05Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa, hadi leo Ijumaa mchana, watu 11 elfu na 133 walikuwa wameshapata nafuu na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka hospitalini hapa nchini baada ya kuugua ugonjwa wa COVID-19.
-
IRGC: Iran inaweza kuisaidia Marekani kupambana na corona, lakini haihitaji msaada wao
Mar 27, 2020 03:45Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema mfumo wa afya hapa nchini ni madhubuti na kwamba Iran inaweza kuisaidia Marekani kukabiliana na mripuko wa virusi vya corona, lakini taifa hili halihitaji msaada wowote kutoka kwa watawala wa Washington.
-
Zarif: Janga la corona halisazi taifa lolote, hata Marekani inaomba msaada
Mar 26, 2020 22:33Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameiasi Marekani kubadili mienendo yake ili mripuko wa ugonjwa wa covid-19 ambalo ni janga la kimataifa lisilochagua taifa, usigeuke na kuwa mgogoro wa daima.
-
Shamkhani: Uwezo wa miundomsingi ya Iran katika kupambana na janga la corona uko wazi
Mar 26, 2020 22:09Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza kuwa kwa baraka ya Mapinduzi ya Kiislamu muujiza wa uwezo na nguvu ya miundomsingi katika kukabiliana na janga la corona unadhiri wazi
-
Rouhani atangaza mikakati mipya ya kukabili corona Iran, waliopona ni zaidi ya 10,000
Mar 26, 2020 07:35Rais Hassan Rouhani wa Iran ametangaza mipango na mikakati mipya ya kudhibiti maambukizi ya kirusi cha corona hapa nchini ndani ya wiki mbili zijazo.
-
Waziri Zarif: Pompeo ni Waziri wa Chuki wa Marekani
Mar 26, 2020 06:38Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali mienendo ya mwenzake wa Marekani, Mike Pompeo ya kueneza chuki, uhasama na propaganda dhidi ya Iran na kumtaja waziri huyo wa utawala wa Donald Trump kama Waziri wa Chuki.
-
Barua ya nchi 8 kwa Katibu Mkuu wa UN: Vikwazo vina taathira hasi kwa udhibiti wa janga la corona
Mar 26, 2020 03:43Wawakilishi wa Iran, Russia, China, Cuba, Korea Kaskazini, Iraq, Venezuela na Nicaragua katika Umoja wa Mataifa wamemwandikia barua Katibu Mkuu wa umoja huo, ambapo mbali na kuashiria kuwa corona ni adui wa pamoja wa nchi zote, wametahadharisha kwamba, vikwazo vina taathira hasi kwa udhibiti wa maambukizi ya kirusi hicho.