-
Waziri Zarif: Pompeo ni Waziri wa Chuki wa Marekani
Mar 26, 2020 06:38Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali mienendo ya mwenzake wa Marekani, Mike Pompeo ya kueneza chuki, uhasama na propaganda dhidi ya Iran na kumtaja waziri huyo wa utawala wa Donald Trump kama Waziri wa Chuki.
-
Barua ya nchi 8 kwa Katibu Mkuu wa UN: Vikwazo vina taathira hasi kwa udhibiti wa janga la corona
Mar 26, 2020 03:43Wawakilishi wa Iran, Russia, China, Cuba, Korea Kaskazini, Iraq, Venezuela na Nicaragua katika Umoja wa Mataifa wamemwandikia barua Katibu Mkuu wa umoja huo, ambapo mbali na kuashiria kuwa corona ni adui wa pamoja wa nchi zote, wametahadharisha kwamba, vikwazo vina taathira hasi kwa udhibiti wa maambukizi ya kirusi hicho.
-
Wataalamu wa Iran wapata njia mpya ya kutibu ugonjwa wa Corona
Mar 26, 2020 00:19Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Udaktari mjini Abadan, mkoa wa Khuzestan , kusini magharibi mwa Iran, ameelezea mafanikio ya timu ya utafiti wa maradhi ya kuambukiza katika chuo hicho, katika kuwatibu wagonjwa wa virusi vya Corona na kusimamisha vifo vinavyosababishwa na ugonjwa huo.
-
Dakta Zarif: Umoja wa Ulaya unaiunga mkono Iran katika kukabiliana na virusi vya Corona
Mar 25, 2020 08:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Umoja wa Ulaya unaliunga mkono taifa hili katika kupambana na virusi vya Corona.
-
Uwezo wa ndani na matumaini ya kulishinda janga la corona nchini Iran
Mar 25, 2020 08:42Sambamba na juhudi zinazofanywa na Wizara ya Afya ya Iran katika kupambana na virusi vya corona, jeshi la taifa pia limeanzisha jitihada kubwa za kudhibiti na hatimaye kukomesha kabisa maambukizi ya virusi hivyo hapa nchini.
-
Rada ya Jeshi la Iran aina ya Fat'h 14 yazuia ndege vamizi ya F-18
Mar 25, 2020 03:20Rada ya Jeshi la Anga la Iran imefanikiwa kuitambua na kuionya ndege ya kisasa ya kivita aina ya F-18 iliyokuwa inakaribia kukiuka anga ya Iran kusini mwa nchi.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Marekani itaondoka Yemen kwa kushindwa
Mar 25, 2020 02:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali hujuma ya kijeshi ya muungano wa Saudia dhidi ya Yemen na kusisitiza kuwa: "Marekani kwa mara nyingine itaondoka Yemen kwa kushindwa."
-
Shamkhani: Watawala wa Marekani wanatumia corona kama fursa ya kuendeleza uhasama
Mar 24, 2020 22:00Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza kuwa: "Watawala wa Marekani wanatumia corona kama fursa ya kuendeleza uhasama."
-
Jeshi la IRGC Iran laanza mazoezi ya kujihami kibiolojia kukabiliana na corona
Mar 24, 2020 21:59Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema jeshi hilo leo linafanya mazoezi ya kitaifa ya kujihami kibiolojia kote nchini Iran ikiwa ni katika sehemu ya oparesheni za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona.
-
Watu karibu 9,000 walioambukizwa corona wapata nafuu nchini Iran
Mar 24, 2020 10:26Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu imetangaza kuwa: Hadi sasa watu 8,913 waliokuwa wameambukizwa kirusi cha corona nchini Iran wamepata nafuu na kuruhusiwa kutoka hospitali.