-
Jeshi la IRGC Iran laanza mazoezi ya kujihami kibiolojia kukabiliana na corona
Mar 24, 2020 21:59Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema jeshi hilo leo linafanya mazoezi ya kitaifa ya kujihami kibiolojia kote nchini Iran ikiwa ni katika sehemu ya oparesheni za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona.
-
Watu karibu 9,000 walioambukizwa corona wapata nafuu nchini Iran
Mar 24, 2020 10:26Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu imetangaza kuwa: Hadi sasa watu 8,913 waliokuwa wameambukizwa kirusi cha corona nchini Iran wamepata nafuu na kuruhusiwa kutoka hospitali.
-
Rouhani: Nchi na mataifa yote yanapaswa kushirikiana katika kupambana na corona
Mar 24, 2020 03:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kasi ya maambukizi ya virusi vya corona imekuwa maudhui ya kimataifa na kuongeza kuwa, nchi na mataifa yote yanalazimika kupambana na janga hilo.
-
Rais Rouhani: Misaada ya Marekani kwa Iran ni hadaa na uongo mkubwa wa kihistoria
Mar 23, 2020 09:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madai ya Wamarekani wanaosema kuwa wako tayari kutoa msaada wa kukabiliana na virusi vya corona kwa Iran, ni hadaa na uongo mkubwa wa kihistoria.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; viongozi wa Marekani ndio watuhumiwa wa kuzalisha corona
Mar 23, 2020 04:45Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia ugonjwa wa COVID-19 ulioenea dunia nzima na kukataa msaada wowote wa Marekani kwa Iran akisema kuwa, viongozi wa Marekani ndio watuhumiwa wa kuzalisha kirusi cha corona hivyo si watu wa kuaminika na kwamba mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubali msaada wao.
-
Pakistan yaitaka Marekani iondoe vikwazo vyake dhidi ya Iran
Mar 23, 2020 03:45Waziri Mkuu wa Pakistan amemtaka Rais Donald Trump wa Marekani aiondolee vikwazo Jamhuri ya Kiislamu hasa baada ya kuibuka virusi vya Corona.
-
Moscow yakosoa mienendo isiyo ya kibinadamu ya Marekani mkabala wa Iran
Mar 22, 2020 20:47Russia imeitaka Marekani kukomesha mienendo yake isiyo ya kimaadili ya kuiwekea vikwazo Iran hasa kwa kutilia maanani kipindi cha sasa cha maambukizi ya virusi vya corona. Wito huo wa Moscow ni sehemu ya upinzani wa kimataifa dhidi ya vikwazo haramu na vinavyokiuka sheria vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Mtu gani mwenye akili atakubali msaada wa Marekani ambayo inatuhumiwa kutengeneza kirusi cha corona?
Mar 22, 2020 09:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani haiaminiwi hata kidogo na kuongeza kuwa: "Wakati Marekani inatuhumiwa kutengeneza kirusi cha corona, mtu gani mwenye akili atakubali msaada wa nchi hiyo."
-
Watu karibu 8,000 walioambukizwa corona Iran waboreka kiafya
Mar 22, 2020 09:03Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa, hadi sasa watu 7,913 ambao walikuwa wameambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran wamepata nafuu na kuruhusiwa kuenda nyumbani baada ya kulazwa hospitalini.
-
HAMAS: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni dhulma kubwa
Mar 22, 2020 03:03Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Kiislamu ya Palestina HAMAS usiku wa kuamkia leo amezungumza kwa simu na Dk Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu na kulaani vikali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.