-
Iran yakanusha madai ya uongo ya Marekani kuhusu vikwazo vya dawa na chakula
Mar 22, 2020 03:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani iliyodai kuwa eti vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran havihusu dawa na chakula.
-
Rais Rouhani: Takwimu za mapambano ya corona nchini Iran zinatia matumaini
Mar 21, 2020 07:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza wananchi kutokana na kutilia maanani maagizo yanayotolewa na maafisa wa Tume ya Taifa ya Kupambana na Virusi vya Corona na kusema: Takwimu na ripoti zinazohusiana na mapambano dhidi ya virusi vya corona nchini Iran zinatia matumaini.
-
Zarif: Ugaidi wa kimatibabu wa Marekani unakwamisha mapambano dhidi ya corona
Mar 21, 2020 07:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza na gazeti la Folha de S.Paulo linalochapishwa nchini Brazil kuhusiana na mapambano ya wananchi wa Iran dhidi ya virusi vya corona na kusema kuwa, ugaidi wa kimatibabu wa Marekani unatatiza mapambano athirifu dhidi ya maambukizi ya virusi hivyo vinavyoenea kwa kasi duniani.
-
Udiplomasia wa afya, wananchi wa Iran wahanga wa corona na vikwazo vya Marekani
Mar 21, 2020 03:59Sambamba na mapambano yanayoendelea kuzaa matunda ya Iran dhidi ya tishio la dunia nzima la virusi vya corona, Tehran imeendeleza "udiplomasia wa afya" kwa shabaha ya kuwazindua walimwengu kuhusu taathira mbaya za vikwazo vya kidhalimu vya Marekani kwa afya na siha ya wananchi na vilevile katika kukwamisha mapambano ya Iran dhidi ya virusi vya corona.
-
China yaendelea kuipatia Iran misaada ya vifaa vya tiba kwa ajili ya kukabiliana na corona
Mar 21, 2020 03:37Shehena nyingine nne za vifaa vya tiba za msaada wa serikali na wananchi wa China kwa ajili ya kukabiliana na kirusi cha corona zimetumwa hapa nchini.
-
Rais Rouhani: Wananchi wa Marekani wasikubali nyaraka za historia ya Marekani zizidi kuwa chafu zaidi ya hivi
Mar 20, 2020 23:35Rais Hassan Rouhani amewatumia ujumbe maalumu wananchi wa Marekani akitahadharisha kuwa: Siasa zozote za uono finyu na za uhasama zitazolenga kudhoofisha mfumo wa utabibu na kuviwekea mpaka vyanzo vya fedha vya kushughulikia hali mbaya iliyoko Iran zitakuwa na athari ya moja kwa moja kwa mchakato wa kupambana na janga la dunia nzima la corona katika nchi zingine.
-
Majeshi ya Iran yashukuriwa kwa kufanya jitihada kubwa katika vita dhidi ya corona
Mar 20, 2020 21:04Waziri wa Afya nchini Iran amesema kuwa, ushirikiano mkubwa wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hasa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni jambo ambalo limewafurahisha madaktari wa Iran katika vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona.
-
Zarif azungumza na mawaziri wenzake wa Kenya na Nigeria kuhusu Corona
Mar 20, 2020 08:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa njia ya simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Kenya, Nigeria na Bulgaria juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Corona unaoendelea kuzisumbua nchi mbali mbali duniani.
-
Kuendelea vikwazo vya Marekani na mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya mfumo wa tiba wa Iran
Mar 20, 2020 08:18Katika siku za hivi karibuni Marekani imeendelea mtawalia kuiwekea vikwazo vipya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ujumbe wa mwaka mpya wa Kiongozi Muadhamu; kuvuka matatizo na mustakbali wenye matumaini
Mar 20, 2020 04:55Katika ujumbe wake alioutoa asubuhi ya leo Ijumaa kwa mnasaba wa kuwadia mwaka mpya wa Kiirani wa 1399, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria kusadifiana kwa siku ya kwanza ya mwaka huu na kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Musa bin Jaffar (as), ambapo ametoa mkano wa pole na maombolezo kwa mnasaba huo na kisha kulitakia heri na fanaka taifa la Iran na hasa familia za mashahidi na wanajihadi wa medani ya afya na tiba, kwa mnasaba wa mwaka huu mpya.