-
Uchaguzi, kielelezo cha ushiriki mkubwa wa kisiasa na nguvu ya wananchi wa Iran
Feb 20, 2020 23:11Uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi cha miaka 41 ya baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu unaotarajiwa kufanyika leo Ijumaa unaakisi umuhimu wa chaguzi katika mfumo wa demokrasia ya kidini nchini Iran.
-
Jeshi la Iran lapokea ndege 8 za kijeshi zilizofanyiwa ukarabati kamili nchini
Feb 20, 2020 08:59Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limepokea ndege 8 za kijeshi ambazo zimefanyiwa ukarabati kamili yaani overhaul ndani ya nchi.
-
Muda wa kampeni za uchaguzi wamalizika leo, mbio za kuwania viti vya Bunge la Iran kutimka kesho Ijumaa
Feb 20, 2020 03:01Muhula wa kufanya kampeni za uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umemalizika mapema leo asubuhi saa mbili kwa majira ya Iran.
-
Raia wawili wa Iran wafariki dunia mjini Qom kwa maradhi ya virusi vya Corona
Feb 20, 2020 00:58Mkuu wa Kituo cha Mawasiliano ya Umma na Upashaji Habari cha Wizara ya Afya nchini Iran, amethibitisha habari ya kufariki dunia watu wawili kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona mjini Qom nchini hapa.
-
Ripota Maalumu wa UN: Mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani yamekiuka sheria za kimataifa
Feb 20, 2020 00:55Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na Marekani dhidi ya aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani yamekiuka sheria za kimataifa.
-
UN: Mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani yalikuwa kinyume cha sheria
Feb 19, 2020 09:28Tarehe 3 mwezi uliopita wa Januari Rais Donald Trump wa Marekani alikiuka sheria za kimataifa na kutoa amri ya kuuliwa kigaidi aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Luteni Jenerali Qassem Soleimani na wenzake kadhaa karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad nchini Iraq alikokuwa ameenda safarini kwa mwaliko rasmi wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo.
-
Rais Rouhani: Mahudhurio ya hamasa ya wananchi wa Iran katika uchaguzi yanaikasirisha Marekani
Feb 19, 2020 08:12Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mahudhurio ya hamasa ya wananchi wa Iran katika uchaguzi ujao wa Bunge wa Ijumaa ya keshokutwa tarehe 21 Februari yataikasirisha Marekani.
-
IRGC: Riyadh inalipa silaha kundi la kigaidi la Jaishul Adl
Feb 19, 2020 04:45Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema serikali ya Saudi Arabia imelipa silaha kundi la kigaidi la Jaishul Adl lenye makao makuu yake nchini Pakistan.
-
Uchaguzi na uwezo unaozidi kuongezeka wa taifa la Iran mkabala wa Marekani kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Feb 19, 2020 04:32Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne asubuhi alikutana na maelfu ya wananchi kutoka mkoa wa Azerbaijan Mashariki na kusema kushiriki kwenye uchaguzi ni wajibu wa kidini, kitaifa na kimapinduzi na haki ya kiraia ya wananchi wote.
-
Zarif: Suluhu ya kadhia ya Palestina ni muqawama na kura ya maamuzi
Feb 18, 2020 04:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kusimama kidete katika njia ya muqawama na kuitishwa kura ya maamuzi ili Wapalestina wenyewe waamue mustakabali wao ndilo suluhisho la kadhia ya Palestina.