-
Uchaguzi na uwezo unaozidi kuongezeka wa taifa la Iran mkabala wa Marekani kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Feb 19, 2020 04:32Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne asubuhi alikutana na maelfu ya wananchi kutoka mkoa wa Azerbaijan Mashariki na kusema kushiriki kwenye uchaguzi ni wajibu wa kidini, kitaifa na kimapinduzi na haki ya kiraia ya wananchi wote.
-
Zarif: Suluhu ya kadhia ya Palestina ni muqawama na kura ya maamuzi
Feb 18, 2020 04:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kusimama kidete katika njia ya muqawama na kuitishwa kura ya maamuzi ili Wapalestina wenyewe waamue mustakabali wao ndilo suluhisho la kadhia ya Palestina.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Kushiriki kwenye uchaguzi ni wajibu na haki, Marekani itaghariki kama meli ya Titanic
Feb 18, 2020 09:58Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa kushiriki kwenye uchaguzi ni wajibu wa kidini, kitaifa na kimapinduzi na haki ya kiraia ya wananchi wote.
-
Spika wa Bunge la Iran: Marekani imetengwa ulimwenguni
Feb 17, 2020 22:10Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria siasa za kibeberu za Marekani na kusema kuwa, Washington imekuwa ikitumia ubabe usio wa kimantiki hususan katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, sera ambazo zimelifanya dola hilo litengwe ulimwenguni.
-
Rais Hassan Rouhani: Viongozi wa dunia wameshangazwa na kusimama imara taifa la Iran mbele ya mashinikizo ya maadui
Feb 17, 2020 08:20Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria njama za maadui za kutaka kusimamisha mwenendo wa maendeleo ya Iran, amesema kuwa viongozi wa nchi tofauti za dunia wamesifu na kupongeza msimamo imara wa taifa hili mkabala wa mashinikizo ya maadui.
-
Rais Rouhani: Iran haitafanya mazungumzo na Marekani
Feb 17, 2020 03:59Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumapili alizungumza na waandishi habari wa ndani ya nje ya nchi hapa mjini Tehran na kuzungumzia masuala mengi kuanzia jibu kali la Iran dhidi ya jinai ya Marekani ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, uchaguzi ujao wa Bunge la Iran na masuala mengine ya kikanda na kimataifa.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kusimama imara taifa la Iran mbele ya Marekani
Feb 16, 2020 23:15Katika marasimu ya kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Fatwimat Zahra (as) Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekutana na maelfu ya wasomaji wa kasida na mashairi ya kuwasifu Ahlul-Bayt wa Mtume (as).
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Iran ni nchi kubwa katika eneo la magharibi mwa Asia
Feb 16, 2020 12:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesisitiza kuwa, Iran ni nchi kubwa katika eneo la magharibii mwa Asia.
-
Rouhani: Vikwazo dhidi ya Iran havikuwa na faida kwa maadui
Feb 16, 2020 10:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vilivyowekwa dhidi ya taifa la Iran havina faida kwa maadui na kuongeza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu imevuka vikwazo vya kiwango cha juu vya Marekani.
-
Mousavi: Kimya cha jamii ya kimataifa kimewahamasisha watenda jinai kuuwa raia wa Yemen
Feb 16, 2020 09:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la watenda jinai wa muungano vamizi huko Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia. Shambulio hilo lilifanywa juzi usiku na wanajeshi wa Saudia Arabia na washirika wake katika mji wa al Masloub mkoani al Jawf.