-
Waziri wa Ulinzi Iran: Adui ameondoa mezani chaguo la mazungumzo
Feb 04, 2020 10:21Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, adui ameondoa mezani chaguo la kufanya mazungumzo baada ya Marekani kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) sambamba na Iran kutoa jibu kali kwa ugaidi huo wa Washington.
-
Mikakati ya maadui ya kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Feb 04, 2020 06:12Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema alipokutana na wajumbe wa Baraza Kuu la Vyuo Vikuu vya Kidini (Hawza) hapa nchini na ambapo sambamba na kubainisha kwamba, adui akiwa na lengo la kufahamu nukta athirifu za mapinduzi na kutoa pigo kwa misingi yake muhimu ana ratiba na mipango ameongeza kuwa, Vyuo Vikuu vya Kidini (Hawza) ni miongoni mwa mambo yanayolengwa na maadui.
-
Spika wa Bunge Iran aikosoa EU kwa msimamo legevu inaoonyesha mbele ya Marekani
Feb 04, 2020 04:26Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amekosoa kuhalifu ahadi kunakofanywa na Marekani na msimamo legevu unaoonyeshwa na Umoja wa Ulaya katika kukabiliana na Washington.
-
Rouhani: Hatua ya Iran ya kupunguza utekelezaji wa JCPOA ni kwa mujibu wa makubaliano hayo
Feb 04, 2020 01:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya Tehran ya kupunguza utekelezajii wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA imechukuliwa kwa mujibu wa vipengee vya makubaliano hayo na kwa ajili ya kuyalinda.
-
Kujeruhiwa waandishi habari wa Kitengo cha Kimataifa cha IRIB nchini Syria na hatari ya kazi ya wanahabari
Feb 03, 2020 23:08Kwa mara nyingine, waandishi habari wa Kitengo cha Kimataifa cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB World Service) wamelengwa na magaidi nchini Syria na kujeruhiwa.
-
Iran: Muamala wa Karne ni "amani ya kutwisha na kuziuza ardhi za Palestina"
Feb 03, 2020 08:58Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njia pekee ya kuiondoa Palestina katika mkwamo wa miaka 70 ni kurejea katika kura za uma kuhusiana na hatima ya taifa la Palestina na kwamba, Muamala wa Karne ni amani ya kutwisha na kuuza ardhi za Palestina.
-
Mkuu mpya wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya yuko safarini Iran
Feb 03, 2020 08:16Josep Borell, mkuu mpya wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya leo Jumanne amewasili Iran ikiwa ni safari yake ya kwanza humu nchini baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.
-
Iran na Uturuki zahimiza kususiwa kikamilifu "Muamala wa Karne"
Feb 03, 2020 04:45Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wametilia mkazo msimamo imara wa ulimwengu wa Kiislamu wa kususia kikamilifu mpango wa Kimarekani-Kizayuni uliopachikwa jina la "Muamala wa Karne."
-
Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya awasili mjini Tehran
Feb 03, 2020 04:45Mkuu wa Siasa za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amewasili mapema leo asubuhi hapa mjini Tehran kwa ajili ya kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rouhani: Muamala wa Karne ni muamala wa fedheha na chuki
Feb 02, 2020 04:08Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja 'Muamala wa Karne' kama mpango wa Marekani wa kufedhehesha, aibu na wenye kuchukiza.