-
Marekani na ugaidi wa kiserikali; tishio la kumuua kigaidi kamanda mpya wa kikosi cha Quds cha IRGC
Jan 24, 2020 23:43Baada ya jinai ya Marekani ya kumuua kinyume cha sheria na kiuwoga Luteni Jenerali Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu Kamanda wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq maarufu kama al Hashd al Shaabi pamoja na watu wengine wanane mnamo Januari 3 2020 katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Baghdad, sasa utawala wa Trump umetoa tishio jipya la ugaidi.
-
Russia yapinga vikali vitisho vya Marekani vya kumuua kigaidi Brig. Jen. Qaani
Jan 24, 2020 13:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amelaani vitisho vilivyotolewa na Marekani vya kumuua kigaidi kamanda mpya wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah).
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Shambulizi la Iran huko Ainul Asad limeporomosha uwezo wa kijeshi wa Marekani
Jan 24, 2020 09:54Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa shambulizi la makombora la Iran dhidi ya kambi za jeshi vamizi la Marekani nchini Iraq limeporomosha uwezo wa kijeshi wa nchi hiyo.
-
Iran: Kibao cha uso tulichompiga Mmarekani kitabakia milele katika historia
Jan 24, 2020 04:33Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, athari za kibao kikali cha uso ambacho vikosi vya ulinzi vya Iran vimeipiga Marekani, zitabakia milele katika historia.
-
Mousavi: Ndoto za Trump za kufikia mapatano mapya na Iran hazitoaguka
Jan 24, 2020 02:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ndoto ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuikia makubaliano mapya na Iran itaendelea kubakia kuwa ndoto isiyoagulika.
-
Iran: Marekani imedhihirisha sura yake ya kigaidi kwa kutishia kumuua Brigedia Qaani
Jan 23, 2020 23:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali matamshi ya kijuba yaliyotolewa na "kundi la kuichukulia hatua Iran" la wizara ya mambo ya nje ya Marekani ya kutishia kumuua kigaidi Brigedia Jenerali Ismael Qaani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
Matokeo hasi ya chokochoko za Marekani Asia Magharibi
Jan 23, 2020 23:22Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa hatua na chokochoko za kijeshi zinazofanywa na Marekani katika eneo la Asia Magharibi, ndio chanzo cha machafuko ndani ya eneo hilo na ameongeza kuwa, uthibitisho wa mwisho wa jambo hilo ni kumuua kigaidi Luteni Qassem Soleimani katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Baghadad, Iraq.
-
Zarif: Iran ingaliko tayari kufanya mazungumzo na majirani zake
Jan 23, 2020 08:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono mazungumzo baina ya nchi za eneo kwa lengo la kuleta uthabiti na ustawi wa pamoja na kurejesha matumaini katika mataifa ya Asia Magharibi.
-
Iran: Kujitoa Marekani hakutushughulishi, kama Ulaya wataheshimu JCPOA nasi tutaheshimu
Jan 22, 2020 22:58Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, nchi zinazounda kundi la 4+1 katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA zinapaswa kuheshimu vilivyo makubaliano hayo na kama nchi za Ulaya zitaheshimu vipengee vya mapatano hayo, Tehran nayo bila ya shaka yoyote itaheshimu.
-
Tehran: Tutazidi kuwa imara baada ya mauaji ya Luteni Soleimani
Jan 22, 2020 22:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kitendo cha adui cha kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani kilikusudia kupunguza ushawishi wa Iran katika eneo hili lakini Tehran itakuwa imara zaidi na itakuwa na ushawishi mkubwa zaidi baada ya mauaji hayo ya kigaidi.