-
Zarif aziasa nchi za Ulaya kusimama kidete mkabala wa vitisho vya Trump
Jan 22, 2020 09:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Marekani ya kutoa vitisho vipya vya kuziwekea nchi za Ulaya ushuru mpya wa kibishara inadhihirisha kuwa, kutumbukia nchi za EU kwenye mtego wa Rais Donald Trump kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kumekuwa na maslahi zaidi kwa kiongozi huyo wa Marekani na sio kwa nchi hizo za Ulaya.
-
Rouhani: Wananchi ni chanzo halisi cha nguvu na uwezo wa Iran
Jan 22, 2020 09:08Rais Hassan Rouhani amesema wananchi wa Iran ndio chimbuko la kweli na halisi la nguvu na uwezo mkubwa wa taifa hili.
-
Iran imeuza nje ya nchi bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 32
Jan 21, 2020 21:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuuza nje ya nchi bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 32 katika kipindi cha mwaka huu wa Hijria Shamsia ambao unatazamiwa kumalizika Machi 21 2020.
-
Rais Rouhani atilia mkazo kuimarishwa ushirikiano na nchi mbalimbali za dunia
Jan 21, 2020 08:32Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi, kiutamaduni na kielimu kati ya Iran na nchi mbalimbali za dunia.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kutumiwa fursa ya Hija kwa ajili ya kuwafikishia walimwengu ujumbe mpya wa Jamhuri ya Kiislamu
Jan 21, 2020 07:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya ulazima wa kutumiwa fursa ya ibada ya Hija kwa ajili ya kuwafikishia walimwengu ujumbe mpya wa Jamhuri ya Kiislamu yaani kiigizo chema cha demokrasia ya kidini yenye ridhaa ya wananchi.
-
Amir Hatami: Iran itatumia nguvu na uwezo wake wa ndani kuzima tishio lolote
Jan 21, 2020 04:14Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili litatumia nguvu na uwezo wake wa ndani katika kujibu tishio lolote dhidi yake na katika ngazi zote.
-
Iran: Iwapo kadhia yetu ya nyuklia itarejeshwa Umoja wa Mataifa, tutafikiria kujitoa NPT
Jan 20, 2020 20:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, iwapo nchi za Ulaya zitairejesha kadhia yake ya nyuklia kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, basi Tehran itafikiria kujitoa katika Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia NPT.
-
Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara kwa taifa la Iran, kumeikasirisha Marekani na kuivutia dunia
Jan 20, 2020 10:14Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, huku akifafanua misingi ya fikra za Kiislamu na malengo yake kukiwemo kusimama imara kwa Jamhuri ya Kiislamu, kuwa ni jambo lililoivutia dunia, amesema kuwa sababu ya kuwafanya Wamarekani wachukizwe na taifa la Iran ni mvuto unaotokana na fikra ya kusimama imara mfumo wa kujitegemea mkabala wa utawala wa kidhalimu.
-
Ujerumani yakosoa mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran
Jan 20, 2020 03:47Baada ya kushika madaraka ya kuongoza Marekani, alianza kutekeleza siasa za kuiondoa nchi hiyo katika mikataba na makubakliano muhimu ya kimataifa, suala ambalo limekabilwia na malalamiko na upinzani ndani na nje ya nchi hiyo.
-
Zarif: Marekani ndiyo sababu kuu ya hali hatari ya sasa magharibi mwa Asia
Jan 19, 2020 23:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, hali ya sasa ya eneo la magharibi mwa Asia ni ya hatari sana na kwamba Marekani ndiyo sababu kuu ya hali hiyo.