-
Kikao cha pamoja cha viongozi wa Iran na Japan; sisitizo la kustawishwa zaidi ushirikiano wa pande mbili
Dec 17, 2019 09:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran karibuni hivi anatarajiwa kuelekea Tokyo mji mkuu wa Japan kwa ajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo.
-
Rais Rouhani: Iran inataka kuwa na uhusiano mkubwa na nchi muhimu za Asia
Dec 17, 2019 04:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za kueleka mashariki na kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na nchi muhimu za bara Asia ni miongoni mwa malengo ya siku zote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Abbas Mousavi: Iran inataka ulimwengu usio wa mabavu wala misimamo ya kufurutu ada
Dec 16, 2019 23:39Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran inafuatilia kuweko ulimwengu usio wa utumiaji mabavu wala misimamo ya kufurutu ada.
-
Usalama, mhimili wa hotuba ya Zarif katika Mkutano wa Doha
Dec 16, 2019 10:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baadhi ya nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi zinatumia ukosefu wa mlingano wa nguvu uliopo katika eneo hilo kama fursa ya kulidhibiti eneo hilo, na kwamba mzingiro wa Saudi Arabia dhidi ya Qatar na vita vya nchi hiyo huko Yemen ni mifano hai ya makosa hayo ya kimahesabu yenye maafa makubwa.
-
Amir Hatami: Iran ina uwezo wa kubadilisha mlingano wa kieneo kwa mujibu wa stratijia zake
Dec 15, 2019 23:04Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran inaweza kubadilisha mlingano wa nguvu katika eneo la Asia Magharibi kwa mujibu wa mikakati na stratijia zake na kwa kutumia ushawishi na nguvu zake kimataifa.
-
Kiongozi Muadhamu amteua Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu
Dec 15, 2019 09:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemteua Hujjatul Islam Hamid Shahriyari kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu.
-
Marekani yaizuia Korea Kusini kutuma vifaa vyake vya kitiba nchini Iran
Dec 14, 2019 21:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imezungumzia upinzani wa Marekani kuhusiana na kutumwa bidhaa za kibinaadamu kama vile madawa, chakula na vifaa vya tiba kwenda Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mousavi: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni sawa na jinai dhidi ya binadamu
Dec 14, 2019 09:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mfano wa wazi wa jinai dhidi ya binadamu na ugaidi wa kiuchumi.
-
Mousavi: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani yanangilia mambo ya ndani ya Iran
Dec 13, 2019 09:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu matamshi yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani akisema kuwa matamshi kama hayo yanayoingilia masuala ya ndani ya Iran hayaweza kuficha makosa ya baadhi ya nchi za Ulaya ya kutotekeleza majukumu yao katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na misimamo yao isiyo sawa kuhusiana na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran alaani njama za maadui dhidi ya Iran
Dec 13, 2019 08:04Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesisitiza udharura wa kutatuliwa matatizo ya kimaisha ya wananchi hususan baada ya kupandishwa bei ya mafuta hapa nchini