-
Yemen yaapa kutoa jibu la 'kuumiza mno' baada ya shambulio la US na UK kuua makumi ya watu
May 31, 2024 06:44Yemen imeapa kuwa itatoa jibu la "kuumiza mno" kwa mashambulizi yaliyofanywa na Marekani na Uingereza dhidi ya meneo kadhaa ya taifa hilo la Kiislamu, na kusababisha vifo vya watu wapatao 16 na kuwajeruhi wengine kadhaa.
-
Kushambulia Rafah; kipaumbele cha Israeli na kupuuzwa matakwa ya kimataifa
May 30, 2024 23:07Huku ukiwa umepuuza matakwa na maonyo ya kimataifa kuhusu athari na matokeo hatari ya kibinadamu ya kushambuliwa mji wa mpakani wa Rafah ulioko kusini mwa Ukanda wa Gaza, utawala wa Kizayuni umetuma vikosi vya kivita katika eneo hilo, ambapo vinaua kikatili wakazi wake bila kujali lolote.
-
Rais wa Cuba: Shambulio la Israel dhidi ya Rafah ni jinai kubwa dhidi ya ubinadamu
May 30, 2024 23:00Rais wa Cuba ameulaani utawala wa Kizayuni kwa kuishambulia kwa mabomu kambi ya wakimbizi wa Kipalestina katika mji wa Rafah wa Ukanda wa Gaza, na kutaka kuchukuliwa hatua za kimataifa ili kuzima mashambulizi ya utawala huo ghasibu.
-
IFRC yataka Israel isitishe mashambulizi katika Ukanda wa Gaza
May 30, 2024 03:38Mtandao mkubwa zaidi wa misaada ya kibinadamu duniani umesisitizia udharura wa kusitishwa vita katika Ukanda wa Gaza, eneo ambalo mamilioni ya Wapalestina wanakabiliwa na baa la njaa.
-
Mauaji ya Rafah katika 'Eneo Salama' yafichua ukatili wa Israeli na ushirikiano wa Washington katika mauaji hayo
May 30, 2024 02:59Mauaji ya hivi karibuni ya raia wa Palestina katika eneo linalodaiwa kuwa "salama" katika Ukanda wa Gaza yanafichua zaidi "ukatili wa mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Israel na ushiriki wa serikali ya Marekani katika mauaji hayo ya kimbari yanaendelea huko katika mji wa Rafah kusini mwa ukanda huo.
-
Wataalamu zaidi ya 50 wa UN wataka Israel iwekewe vikwazo na marufuku ya silaha
May 30, 2024 00:10Wataalamu zaidi ya 50 wa Umoja wa Mataifa wametoa mwito wa kuchukuliwa "hatua madhubuti kimataifa" baada ya kuelezea walivyokasirishwa na shambulio la kinyama la jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ambalo liliua Wapalestina wasiopungua 45 waliokuwa wametafuta hifadhi kwenye kambi ya muda huko Rafah, kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Matokeo ya hatua ya kijinai ya utawala wa Kizayuni ya kuishambulia Rafah
May 29, 2024 22:51Kitendo cha jinai cha utawala wa Kizayuni cha kushambulia makazi na mahema ya wakimbizi wa Kipalestina katika mji wa Rafah kusini mwa ukanda wa Gaza kitakuwa na taathira mbalimbali kwa viongozi watenda jinai wa utawala huo haramu katika ngazi ya kieneo na kimataifa.
-
Katibu Mkuu wa UN: 'Mateso' ya Gaza lazima yakomeshwe baada ya shambulio kubwa la Rafah
May 29, 2024 06:01Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya Wapalestina waliokimbia makazi yao katika mji wa Rafah, kusini mwa Gaza, akitaka kukomesha mara moja kile ilichokiita hofu na mateso katika maeneo yote ya Wapalestina.
-
Kuendelea maandamano dhidi ya Israel nchini Uturuki
May 29, 2024 05:58Maandamano ya wananchi wa Uturuki ya kulalamikia siasa za kijeshi na mauaji yanayofanywa na utawala wa kibaguzi wa Israel dhidi ya watoto wachanga katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina, bado yanaendelea.
-
Tal al Sultan; Hospitali pekee inayofanya kazi katika mji wa Rafah
May 29, 2024 05:48Wizara ya Afya ya Gaza imetangaza kuwa ni hospitali moja tu ambayo imebaki inayotoa huduma katika mji wa Rafah kufuatia mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni.