-
Tal al Sultan; Hospitali pekee inayofanya kazi katika mji wa Rafah
May 29, 2024 05:48Wizara ya Afya ya Gaza imetangaza kuwa ni hospitali moja tu ambayo imebaki inayotoa huduma katika mji wa Rafah kufuatia mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni.
-
Sayyid Hassan Nasrullah asema utawala wa Israel wa 'Kinazi' hautadumu katika eneo
May 29, 2024 03:13Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuhusu mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza kwamba, jinai hiyo ya kutisha uliyofanya utawala huo ghasibu inapasa iwaamshe na kuwatoa kwenye usingizi wa mghafala watu waliojisahau duniani na walioshindwa kuwa na msimamo.
-
Licha ya amri ya ICJ Israel yaongeza brigedi nyingine ya kijeshi, mbali na 5 zilizoko Rafah
May 29, 2024 03:12Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetangaza kuwa linatuma kikosi kingine cha mapigano huko Rafah, kusini mwa Ukanda wa Ghaza, kujiunga na brigedi tano ambazo tayari ziko katika mji huo, huku jeshi hilo likipanua wigo wa uvamizi wake katika mji huo.
-
Uhispania, Ireland na Norway zaitambua rasmi Palestina
May 29, 2024 00:17Uhispania, Ireland na Norway jana zilipasisha rasmi mpango wa kutambua rasmi Palestina, katika uamuzi ulioratibiwa hatua ambayo imeongeza himaya na uungaji mkono kwa Palestina barani Ulaya.
-
Kiongozi wa kidini wa Iraq ataka ubalozi wa Marekani ufungwe kufuatia shambulio la Israel Rafah
May 29, 2024 00:09Moqtada Sadr, Kiongozi wa kidini wa Iraq mwenye ushawishi amerudia wito wake wa kutaka ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ufungwe baada ya shambulizi la anga lililofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuwaua makumi ya raia wa Palestina katika eneo lililodaiwa kuwa na usalama katika mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Israel kuwekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya kutokana na jinai zake Rafah
May 28, 2024 07:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ireland amesema kuwa, kwa mara ya kwanza Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya wamejadili kwa kina uwezekano wa kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni iwapo hautatekeleza amri ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ya kusimamisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Rafah.
-
Waandamanaji wachoma moto ubalozi mdogo wa Israel mjini Istanbul
May 28, 2024 07:12Ubalozi mdogo wa utawala wa Kizayuni wa Israel mjini Istanbul Uturuki umechomwa moto na waandamanaji wenye hasira waliokuwa wakilalamikia vita na mauaji yanayofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina katika ukanda wa Gaza.
-
Uhispania: Kutambuliwa rasmi Palestina ni haki ya kisheria ya taifa hilo madhulumu
May 28, 2024 07:11Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kuwa, kutambuliwa rasmi Palestina ni haki ya kisheria ya taifa hilo madhulumu.
-
Harakati za muqawama wa Palestina: Hatutashiriki katika mazungumzo yoyote na utawala wa Kizayuni
May 28, 2024 04:37Harakati za Mapambano za Palestina za Hamas na Jihadul Islami zimetangaza kuwa hazitashiriki tena kwenye mazungumzo yoyote baada ya utawala wa Kizayuni kushambulia kambi ya wakimbizi wa Kiaplestina katika mji wa Rafah.
-
Azma ya dhati ya Iran na Saudi ya kudumisha na kuimarisha ushirikiano
May 27, 2024 23:20Saudi Arabia ikiwa na lengo la kutoa heshima na mkono wa pole kwa taifa na wananchi wa Iran kufuatia kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi ilituma hapa mjini Tehran ujumbe uliokuwa ukiongozwa na mjumbe maalumu wa Mfalme wa nchi hiyo sambamba na Waziri wa Mashauri ya kigeni wa nchi hiyo.