-
Imarati yaalani jinai za utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah
May 27, 2024 23:15Wizara ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imelaani jinai za utawala wa kizayuni katika mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa kuna udharura utawala wa Kizayuni kufungamana na maamuzi ya Mahakama ya Kimataifa ya ICJ.
-
MSF wawasilisha kesi mpya ICC dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa mauaji ya waandishi habari Gaza
May 27, 2024 23:14Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imewasilisha mashtaka mapya katika mahakama ya kKimataifa ya Jinai (ICC) kufuatia jinai za kivita za utawala wa Kizayuni dhidi ya waandishi wa habari katika Ukanda wa Gaza.
-
Amnesty International yaitaka mahakama ya ICC kuchunguza jinai za Israel Rafah
May 27, 2024 08:27Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah katika Ukanda wa Gaza.
-
Saudia yateua balozi wake nchini Syria baada ya zaidi ya muongo mmoja
May 27, 2024 08:27Saudi Arabia imetangaza kuteua balozi wake mpya nchini Syria ikiwa ni balozi wake wa kwanza baada ya zaidi ya muongo mmoja tangu ilipositisha uhusiano wake na serikali yar ais Bashar al-Assad.
-
UNFPA: Nusu ya watu wa Gaza wanakabiliwa na hatari ya njaa
May 27, 2024 02:21Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) limetoa onyo kali kuhusu mgogoro wa kibinadamu unaoendelea katika Ukanda wa Gaza, likisema nusu ya wakazi wa eneo hilo wako katika hatari ya "njaa inayokaribia."
-
Wapalestina 35 wachomwa moto wakiwa hai katika shambulio la kinyama la Israel Rafah
May 26, 2024 23:50Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limeshambulia kwa makombora kambi ya watu waliolazimika kuhama makazi yao na kuhamia eneo lililotengwa kuwa na usalama huko Rafah, na kuwaua shahidi Wapalestina 35, wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto.
-
Al-Qassam: Tumeangamiza na kukamata mateka askari kadhaa wa Kizayuni + Video
May 26, 2024 04:13Abu Obeida, Msemaji wa Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, wapiganaji wa brigedi hizo wamekinasa kwa kukiwekea chambo chini ya handaki kikosi cha jeshi la Kizayuni na kufanikiwa kuwaangamiza, kuwajeruhi na kuwakamata mateka askari kadhaa wa jeshi hilo katika eneo la kambi ya Jabalia kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
UNICEF yatoa onyo kali kuhusu hatari ya vifo vya watoto wachanga katika Ukanda wa Gaza
May 26, 2024 03:27Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) umetahadharisha kuhusu hatari ya vifo vya watoto wachanga wa Kipalestina huko Ukanda wa Gaza kutokana na kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni.
-
Takwa la Bunge la Kiarabu la kusimamishwa mara moja mauaji ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza
May 26, 2024 01:56Katika kikao kilichofanyika katika makao makuu ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu mjini Cairo, Spika wa Bunge la Kiarabu ametaka kusitishwa mara moja jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi katili la Kizayuni linaziteketeza makusudi hospitali na vituo vya tiba vya Ghaza
May 26, 2024 01:10Msemaji a Wizara ya Afya ya Ukanda wa Ghaza amesema jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel linazibomoa na kuziteketeza kwa makusudi hospitali na vituo vya tiba vya ukanda huo.