-
Euro-Med HRM: Hukumu ya Mahakama ya ICJ ni ithibati kwamba Israel imeshavuka mipaka yote
May 26, 2024 01:09Maha Hussaini, Mkurugenzi wa Mkakati wa Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Med Human Rights Monitor, amesema uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ wa kuutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usimamishe mara moja mashambulio yake ya kijeshi katika mji wa Rafah ulioko kusini mwa Ukanda wa Ghaza ni hatua muhimu na yenye uzito mkubwa ambayo dunia imekuwa ikiingoja kwa miongo kadhaa, na wala si tangu tu yalipoanza "mauaji ya kimbari" mnamo Oktoba 7.
-
Maandamano ya watu milioni moja Sana'a Yemen kuunga mkono Wapalestina Gaza
May 25, 2024 03:47Mji mkuu wa Yemen, Sana'a, Ijumaa ulishuhudia maandamano ya watu milioni moja kwa ajili ya kuwaunga mkono wananchi wa Palestina, wakitaka kuendelea kuungwa mkono Wagaza hadi ushindi wao wa mwisho dhidi ya utawala wa Israel.
-
Jeshi la Yemen latekeleza oparesheni tatu za aina yake
May 24, 2024 22:35Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza kuwa jeshi hilo limetekeleza oparesheni tatu za aina yake dhidi ya mei tatu katika fremu ya awamu ya nne ya kushtadi mivutano.
-
Makundi ya Muqawama yatoa tamko kuhusu uamuzi wa nchi za Ulaya kuitambua nchi ya Palestina
May 24, 2024 06:50Makundi ya Muqawama ya Palestina yametoa mjibizo kwa utayarifu uliotangazwa na nchi kadhaa za Ulaya wa kuitambua nchi huru ya Palestina kwa kueleza kwamba hatua hiyo ni mabadiliko makubwa katika msimamo wa nchi mbalimbali duniani katika kuunga mkono piganio tukufu la taifa la Palestina.
-
Hizbullah, Harakati ya Muqawama Iraq zashambulia ngome za Israel
May 24, 2024 03:52Wanamapambano wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Iraq wamefanya operesheni tofauti dhidi ya kambi na ngome za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel, katika maeneo yaliyokaliwa kwa mabavu mwaka 1948, kwa ajili ya kulipiza kisasi cha vita vya umwagaji damu vya Israel dhidi ya Gaza.
-
Wapalestina wengine 60 wauawa na jeshi la Israel huko Gaza
May 23, 2024 23:30Makumi ya watu wakiwemo watoto wadogo na wanawake wanaripotiwa kuuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Kuendelea kujiuzulu viongozi wa kijeshi na kiusalama wa Israel sambamba na kukiri kushindwa katika vita vya Gaza
May 23, 2024 23:05Mwenendo wa kujiuzulu viongozi wa kijeshi na kiusalama wa utawala wa Kizayuni unaendelea sambamba na kuendelea kushindwa utawala huo ghasibu katika vita na mauaji yake ya kimbari huko Ukanda wa Gaza.
-
Waarabu wazipongeza nchi za Ulaya zilizolitambua taifa la Palestina
May 23, 2024 06:58Mataifa ya Kiarabu yamekaribisha hatua ya baadhi ya nchi za Ulaya ya kutangaza rasmi kulitambua taifa la Palestina.
-
Jeshi la Kizayuni laendelea kumwaga damu za Wapalestina katika kila pembe ya Ghaza
May 23, 2024 04:14Mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel yangali yanaendelea katika maeneo tofauti ya ukanda wa Ghaza.
-
Jinai baada ya jinai huko Gaza
May 23, 2024 00:49Pamoja na kuwa Netanyahu anakabiliwa na hatari ya kukamatwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutokana na jinai kubwa za kivita anazofanya huko Gaza, lakini bado anaendelea kufanya jinai hizo bila kujali lolote kutokana na msaada na uungaji mkono mkubwa anaopata kutoka kwa Marekani.