-
Waziri wa Israel: Mashambulizi ya Iran yameharibu kambi mbili kuu za jeshi; akejeli taarifa za Israel kushambulia Iran + Video
Apr 19, 2024 06:53Waziri wa Usalama wa Ndani ya serikali ya Benjamin Netayahu amekiri kwamba shambulio la kulipiza kisasi la Iran dhidi ya Israel limesababisha hasara kubwa za kijeshi kwa utawala wa Kizayuni na wakati huo huo ameziita taarifa zilizodai kuwa utawala wa Kizayuni umefanya shambulizi ndani ya Iran leo Ijumaa kuwa ni istihzai.
-
Utawala wa Kizayuni una hofu ya kutolewa waranti wa kumkamata Netanyahu
Apr 19, 2024 03:59Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni limefanya kikao cha dharura kuchunguza uwezekano wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutoa waranti wa kukamatwa Benjamin Netanyahu na maafisa wengine wa utawala huo dhalimu wa Israel kwa kuhusika na mauaji ya kimbari ya Wapalestina huko Ghaza.
-
UN: Israel inaendeleza vikwazo haramu vya misaada kwa watu wa Gaza
Apr 18, 2024 07:30Msemaji na Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa utawala haramu wa Israel unaendeleza vikwazo visivyo halali vya katika uwanja wa kupeleka misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza.
-
Shambulio la makombora la Hizbullah lajeruhi askari 14 wa Israel, sita wako mahututi
Apr 18, 2024 03:38Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imehusika na shambulio lililolenga kituo cha kijeshi kaskazini mwa 'Israel' na kuwajeruhi wanajeshi wasiopungua 14, na kusema, shambulio hilo limefanywa kulipiza kisasi cha mashambulizi ya utawala wa Kizayuni yaliyoua wanachama wa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu.
-
Mkuu wa UNRWA alaumu vikali hila ya Israel ya kutaka shirika hilo la kusaidia Wapalestina livunjwe
Apr 18, 2024 02:51Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na kuwasaidia Wapalestina, UNRWA, Philippe Lazzarini amelaumu vikali kampeni ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kulisambaratisha shirika hilo.
-
Utawala wa Kizayuni wazidi kutengwa kimataifa
Apr 18, 2024 00:58Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika katika ripoti yake kuwa Israel inaendelea kutengwa pakubwa duniani kote.
-
Watoto elfu 19 wa Kipalestina wamekuwa mayatima kutokana na jinai za Israel Ukanda wa Gaza
Apr 18, 2024 00:54Watoto 19,000 wa Kipalestina wamekuwa mayatima kufuatia jinai za kinyama za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Wapalestina 16 wa Ukanda wa Ghaza wameuawa shahidi kwenye jela za utawala wa Kizayuni
Apr 17, 2024 07:19Kamati inayoshughulikia masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa na walioachiwa huru kutoka kwenye magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa, mateka 16 wakazi wa Ukanda wa Ghaza wameuawa shahidi wakiwa wanashikiliwa kwenye magereza ya utawala huo.
-
UN: Israel imeua wanawake 10,000 Gaza
Apr 16, 2024 23:27Takriban wanawake 10,000 wameuawa huko Gaza tangu utawala haramu wa Israel uanzishe vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya eneo hilo Oktoba mwaka jana.
-
Wazayuni wanakwepa kurejea maeneo wanayoishi kwa kuhofia mashambulio ya Hizbullah
Apr 16, 2024 07:18Televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel imefichua kuwa, sehemu kubwa ya Wazayuni wanaoishi kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni, wanakwepa kurejea maeneo hayo wakihofia mashambulio ya Hizbullah ya Lebanon.