-
Wapalestina 16 wa Ukanda wa Ghaza wameuawa shahidi kwenye jela za utawala wa Kizayuni
Apr 17, 2024 07:19Kamati inayoshughulikia masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa na walioachiwa huru kutoka kwenye magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa, mateka 16 wakazi wa Ukanda wa Ghaza wameuawa shahidi wakiwa wanashikiliwa kwenye magereza ya utawala huo.
-
UN: Israel imeua wanawake 10,000 Gaza
Apr 16, 2024 23:27Takriban wanawake 10,000 wameuawa huko Gaza tangu utawala haramu wa Israel uanzishe vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya eneo hilo Oktoba mwaka jana.
-
Wazayuni wanakwepa kurejea maeneo wanayoishi kwa kuhofia mashambulio ya Hizbullah
Apr 16, 2024 07:18Televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel imefichua kuwa, sehemu kubwa ya Wazayuni wanaoishi kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni, wanakwepa kurejea maeneo hayo wakihofia mashambulio ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Vyombo vya habari vyafichua jinai ya Wazayuni katika Hospitali ya al-Shifa huko Gaza
Apr 16, 2024 03:16Vyanzo vya habari vimevichua na kuweka wazi jinai kubwa iliyofanywa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Hospitali ya al-Shifa huko Gaza baada ya kufukuliwa miili ya mashahidi wa Kipalestina waliouawa na kuzikwa na wanajeshi wa utawala huo haramu.
-
Mgogoro ulioanzishwa na utawala wa Kizayuni; matokeo ya utawala wa Netanyahu na baraza lake la mawaziri
Apr 15, 2024 22:43Kanali ya 12 ya utawala wa Kizayuni imesema kwenye tovuti yake kwamba Netanyahu ni mwongo na kwamba ameuletea madhara makubwa ya kiusalama utawala ghasibu wa Israel kwa kushindwa kijeshi katika Ukanda wa Gaza, kuzusha migogoro mbalimbali katika eneo na kuwa leo hii utawala huo unakabiliwa na matatizo ya pande zote.
-
Mufti wa Oman apongeza jibu la Iran kwa utawala wa Israel
Apr 15, 2024 10:17Mufti Mkuu wa wa Oman amekaribisha na kupongeza mashambulizi ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Bunge la Iraq: Jibu la Iran kwa Israel ni haki halali
Apr 15, 2024 04:31Naibu Spika wa Bunge la Iraq amesema kuwa hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kuurushia makombora na ndege zisizo na rubani (droni) utawala wa Kizayuni ni haki ya kimaumbile na iliyostahiki.
-
UNRWA: Watu wa kaskazini mwa Gaza wanakabiliwa na njaa
Apr 15, 2024 01:09Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada ya Kibinadamu kwa Wapalestina (UNRWA) limetangaza kuwa misaada ya kibinadamu kwa familia za Wapalestina wanaoishi Ukanda wa Gaza haikidhi hata mahitaji yao ya kiwango cha chini kabisa.
-
Yemen yatetea jibu la kijeshi la Iran kwa utawala wa Kizayuni
Apr 15, 2024 00:56Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Serikali ya Uokovuwa Kitaifa ya Yemen imetaja hatua ya Iran ya kuvurumisha makombora na ndege zisizo na rubani (drone) katika kujibu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika sehemu ya ubalozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu huko Damascus, Syria kuwa ni jibu halali na lililotekelezwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
-
Uamuzi wa Pakistan dhidi ya harakati ya Zainabiyyun; malengo na matokeo yake
Apr 14, 2024 09:41Serikali ya Pakistan imechukua uamuzi wa kushtukiza na uliowashangaza na kuwapiga butwaa watu wengi, nao ni wa kuiweka harakati ya Zainabiyyun kwenye orodha yake ya tasisi za kigaidi licha ya kwamba harakati hiyo muda wote imekuwa ikipigania amani na usalama kwa Pakistan.