-
Ansarullah yaionya Imarati kutokana na hatua inazochukua ndani ya Yemen
Oct 05, 2023 23:17Mjumbe wa baraza la kisiasa la harakati ya Ansarullah ameionya Imarati kuhusu hatua na harakati zake inazoendesha huko Yemen.
-
HAMAS: Hujuma dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa hazitabadilisha utambulisho wa Quds
Oct 05, 2023 10:24Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, kwa kuushambulia Msikiti wa Al-Aqsa, wavamizi wa Kizayuni hawawezi kubadilisha utambulisho wa mahala hapo patakatifu na wa mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem).
-
Ajuza wa Kiiraq aliyeishi umri mrefu zaidi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 138
Oct 05, 2023 10:08Mwanamke mzee zaidi nchini Iraq ameaga dunia katika eneo la al-Islah, lililoko mashariki mwa mji wa Nasiriyah akiwa umri wa miaka 138.
-
Kuongezeka nguvu ya Hizbullah; jinamizi kwa Wazayuni
Oct 05, 2023 08:16Kuongezeka uwezo wa Hizbullah daima kumekuwa kukiwapa wasiwasi mkubwa watawala wa Kizayuni, na hasa maafisa wa kijeshi ambao wamekuwa wakilitumia suala hilo kama kisingizio cha kufikia malengo yao.
-
Askofu Mkuu Hanna: Ukandamizaji wa Israel dhidi ya Wakristo umeongezeka kutokana na kimya cha Wamagharibi
Oct 05, 2023 04:31Atallah Hanna, Askofu Mkuu wa Wakristo wa Orthodox huko Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem), amesema kwamba Wakristo wa Quds wamo hatarini zaidi kuliko hapo awali.
-
Walowezi wa Kizayuni wauvamia Msikiti wa Al Aqswa kwa siku ya tano mfululizo
Oct 04, 2023 09:06Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena kwa siku ya tano mtawalia Msikiti wa Al-Aqwsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Kutomwamini Netanyahu Ben Gvir; mgawanyiko mpya katika baraza la mawaziri la Israel
Oct 04, 2023 04:21Gazeti la Yediot Aharonot limeripoti kuwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel hamwaliki tena Itamar Ben Gvir, Waziri wa Usalama wa Ndani kwenye vikao vya siri ya juu vya kiusalama vya utawala huo.
-
Al Sudani: Iraq inapinga kukiukwa mamlaka ya kujitawala ya nchi jirani
Oct 04, 2023 03:18Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba nchi yake haitageuzwa kuwa sehemu ya kukika mamlaka ya kujitawala ya nchi yoyote ile hasa nchi jirani.
-
Jordan yalaani Wazayuni kuuvamia tena Msikiti wa al-Aqsa
Oct 03, 2023 23:38Serikali ya Jordan imekosoa vikali hatua ya wanajeshi wa utawala haramu wa Israel kuwashambulia waumini wa Kipalestina, huku mamia ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali wakiingia kwa mabavu katika eneo la Msikiti wa al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) Mashariki inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Mchezo wa kamari wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel utashindwa
Oct 03, 2023 22:58Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mchezo wa kamari wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni ni mithili ya kubeti juu ya farasi asiyeshinda katika mashindano, kwa sababu leo hii harakati ya Wapalestina iko hai na ina utayari zaidi kuliko wakati mwingine wowote, na utawala wa Kizayuni unaelekea katika kifo.