-
HAMAS na Jihad al Islami ni washirika wawili wa kiistratijia katika muqawama
Oct 03, 2023 09:04Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa harakati ya Jihad al Islami ya POalestina amesema kuwa, harakati hiyo ni mshirika wa kiitratijia wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, katika muqawama.
-
Wazayuni wauvamia tena Msikiti wa Al Aqsa kwa siku ya nne mfululizo
Oct 03, 2023 04:23Kundi kubwa la walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena kwa siku ya nne mtawalia Msikiti wa Al-Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na kusindikizwa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Nasrullah: Lazima Wazayuni waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na kibla cha kwanza cha Waislamu
Oct 03, 2023 03:10Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Umma wa Kiislamu unapaswa utekeleze wajibu wake kwa watu wa Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa, na akasisitiza kuwa: Wazayuni lazima waisikie sauti ya Umma wa Kiislamu kuhusiana na Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Mkutano wa Kimataifa wataka hatua zichukuliwe kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu
Oct 02, 2023 23:15Mkutano wa kimataifa kuhusu chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) umefanyika nchini Qatar huku mmoja wa waandalizi wake akitoa wito wa kufanyika juhudi za pamoja za kukabiliana na ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu na athari zake "haribifu".
-
Kutoka mapambano ya silaha katika Ukingo wa Magharibi hadi kuanza tena maandamano ya haki ya kurejea wakimbizi huko Gaza.
Oct 02, 2023 23:13Ikiwa ni katika muendelezo wa walowezi wa Kizayuni kuvunjia heshima Msikiti wa Al-Aqswa, siku ya Jumapili asubuhi walowezi hao walifanya vitendo vya uchochezi katika eneo hilo takatifu kwa kuingia humo kinyume cha sheria, ambapo walowezi wa mrengo wa kulia waliimba na kucheza densi kwenye lango la msikiti huo mtukufu.
-
Askari wa Israel washambulia waandishi wa habari, waumini katika Msikiti wa Al-Aqsa
Oct 02, 2023 11:41Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamewashambulia waumini wa Kipalestina na waandishi wa habari huku mamia ya walowezi wa Kizayuni wenye itikadi kali wakiingia kwa mabavu katika eneo la Msikiti wa al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) Mashariki inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Uturuki bado inatafuta fursa kwa kuendelea kukalia ardhi ya Syria
Oct 02, 2023 07:35Ankara imetangaza kwa mara nyingine kuwa serikali ya Uturuki itaanzisha tena mazungumzo yake na Iran na Russia kwa lengo la kuboresha uhusiano na Syria.
-
Ansarullah: Kuondolewa serikali madarakani limekuwa takwa la wananchi
Oct 02, 2023 04:37Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesisitiza kuwa, kuondolewa madarakani serikali ya Abdul Aziz bin Habtoor limekuwa matakwa la wananchi.
-
Kutoka muqawama wa silaha katika Ukingo wa Magharibi hadi kuanza tena kwa maandamano ya haki ya kurejea wakimbizi huko Gaza
Oct 02, 2023 04:26Katika muendelezo wa vitendo vya walowezi wa Kizayuni vya kuuvunjia heshima Msikiti wa Al-Aqswa katika siku chache zilizopita kwa kisingizio cha sikukuu za Kiyahudi, Jumapili asubuhi ya jana, watu hao walifanya vitendo vya uchochezi katika eneo hili takatifu baada ya kuingia humo kinyume cha sheria. Walowezi wa Kizayuni wa mrengo wa kulia walianza kucheza, kurukaruka huku wakiimba kwenye lango la Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Kuwait yaungana na mataifa mengine kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani huko Sweden
Oct 02, 2023 03:42Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Kuwait imelaani vikali kuvunjiwa heshima tena kitabu kitakatifu cha Qur'ani huko nchini Sweden.