-
Saudi Arabia yalaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden
Oct 01, 2023 23:02Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Saudi Arabia imetoa taarifa maalumu na kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani huko nchini Sweden.
-
Syria yafungua tena ubalozi wake mjini Riyadh
Oct 01, 2023 23:01Ubalozi wa Syria mjini Riyadh umefunguliwa tena huku ujumbe wa wanadiplomasia wa Syria ukirejea Saudi Arabia, vyanzo vya habari vimeripoti.
-
Ombi la Qatar kwa Umoja wa Mataifa la kujiunga utawala wa Kizayuni wa Israel na mkataba wa NPT
Oct 01, 2023 22:59Qatar imeutaka utawala ghasibu wa Israel ujiunge na mkataba wa kupiga marufuku uenezaji wa silaha za nyuklia duniani NPT.
-
Jihad al Islami: Waislamu hawapaswi kukaa kimya mbele ya kudhalilishwa Msikiti wa al Aqsa
Oct 01, 2023 11:55Mjumbe mmoja wa harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amesema kuwa, mataifa ya Kiarabu na Kiislamu sasa yanapaswa kusimama dhidi ya vitendo vya kiuadui vya Mzayuni.
-
Mlipuko wa bomu watokea karibu na Bunge la Uturuki mjini Ankara
Oct 01, 2023 10:50Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uturuki imesema magaidi wawili wameshambulia kwa bomu mbele ya majengo ya wizara hiyo iliyo karibu na Bunge katika mji mkuu, Ankara.
-
Ijumaa ya umwagaji damu nchini Pakistan na umuhimu wa kukabiliana kieneo na ugaidi
Oct 01, 2023 08:24Saa chache baada ya kutokea mlipuko wa umwagaji damu katika maandamano ya Maulid ya Mtume (SAW) hao siku ya Ijumaa katika mkoa wa Baluchistan, mashambulizi mengine mawili yalitokea kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo, ambapo kwa ujumla zaidi ya watu 60 wamepoteza maisha
-
Umuhimu wa kupasishwa rasmi jina la Palestina katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki
Oct 01, 2023 04:37Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, (IAEA) katika kikao chake cha 67 cha kila mwaka huko Vienna, umepiga kura ya kuunga mkono azimio la kupasishwa rasmi jina la "Nchi ya Palestina"
-
Qatar yataka vituo vya nyuklia vya Israel vikaguliwe na IAEA
Sep 30, 2023 23:08Qatar imetaka vituo vya nyuklia vya utawala wa Israel viwe chini usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) huku utawala huo ukiendelea kupuuza kanuni za kimataifa za nyuklia.
-
Tokea kuanza Intifadha ya Al-Aqsa hadi leo; kuimarika muqawama wa Palestina na kudhoofika Israeli
Sep 30, 2023 07:52Miaka 23 imepita tokea kuanza Intifadha ya Al-Aqsa. Swali muhimu ni kwamba, je, miaka 23 baada ya Intifadha ya Al-Aqsa, ni matukio gani yameshuhudiwa katika mgogoro wa Palestina na Wazayuni.
-
Bashar Assad: Marekani inashirikiana na magaidi
Sep 30, 2023 03:46Rais Bashar al-Assad wa Syria amezungumzia kuwepo kwa magaidi katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na jinsi Marekani ilivyo na udhibiti kamili wa maeneo hayo na kusisitiza kwamba Washington inashirikiana na magaidi.