-
HAMAS yataka kuendelezwa muqawama dhidi ya Wazayuni
Sep 30, 2023 01:07Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema kuna haja ya kuendeleza muqawama na mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Umoja wa Mataifa wataka kukomeshwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Sep 28, 2023 23:06Mratibu maalumu wa Umoja wa Mataifa wa eneo la Magharibi mwa Asia amesisitizia ulazima wa kukomeshwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina.
-
Katibu Mkuu wa UN: Pakistan ni 'muathirika pacha', inahitaji na inastahiki msaada mkubwa wa jamii ya kimataifa
Sep 28, 2023 23:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa mwito wa kuungwa mkono Pakistan, ambayo inaendelea kujijenga upya kufuatia mafuriko makubwa ya mwaka jana, na kuitaja nchi hiyo kuwa ni "mwathirika pacha" wa "machafuko ya hali ya hewa" na mfumo "usio wa haki" wa kifedha duniani.
-
Palestina: Tunapigana vita na utawala wa Kizayuni wa Israel katika medani nne
Sep 28, 2023 11:33Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, Mpango wa Amani wa Waarabu ni msingi wa kukubalika na pande zote kuhusiana na kadhia ya Palestina na akasisitiza kuwa, wananchi wa Palestina wanapigana vita na utawala wa Kizayuni wa Israel katika medani nne.
-
Kamanda wa jeshi la Iraq: Hatuhitaji wanajeshi wa kigeni wawepo nchini
Sep 28, 2023 10:47Kamanda wa operesheni za pamoja za vikosi vya ulinzi vya Iraq amesema: "nchi hii ina uwezo unaohitajika wa kupambana na magaidi na wala haihitaji kuwepo askari wa kigeni".
-
Al-Khalil, mji mkuu wa kiutamaduni wa ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2026
Sep 28, 2023 05:55Katika mkutano wake huko Doha, mji mkuu wa Qatar, Baraza la Mawaziri wa Utamaduni wa Ulimwengu wa Kiislamu limeuchagua mji wa al-Khalil, ulioko Palestina, kuwa mji mkuu wa kiutamaduni wa Ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2026.
-
Al Houthi: UN, USA, Israel na Ulaya wanaeneza uasherati ili kuporomosha jamii ya wanadamu
Sep 28, 2023 04:15Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema: Umoja wa Mataifa, Marekani, Israel, na serikali za Ulaya zinaeneza uasherati na maingiliano ovyo ya kingono katika jaribio la kuangusha jamii ya wanadamu na kuondoa utu kwa lengo la kuwadhibiti wanadamu.
-
JPPI: Kasi ya Wazayuni kukimbia ardhi za Palestina inaongezeka
Sep 28, 2023 04:14Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonyesha kuwa, kumekuwapo ongezeko kubwa la maombi ya viza kwa Wazayuni na Mayahudi kuhama kutoka katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina.
-
Upinzani wa serikali ya Sana'a dhidi ya kutawaliwa nchi hiyo.
Sep 27, 2023 23:32Mahdi al-Mashat, Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema katika hotuba yake mbele ya familia za mashahidi wa Yemen kuwa nchi hiyo haitakubali kuwa chini ya udhibiti wa nchi yoyote ya kigeni.
-
Hamas: Kuwafungulia njia Wazayuni huko Hijaz kuna maana ya kukubali kukaliwa kwa mabavu Palestina
Sep 27, 2023 23:31Kiongozi mmoja wa harakati ya Hamas amekosoa hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuranzisha uhusiano na mapatano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa, kuwafungulia njia wavamizi wa Israel kwa ajili ya kuingia katika ardhi ya Hijaz (Saudia) kuna maana ya kukubali kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.