-
Jerusalem Post: Satalaiti ya "Nour 3" inaimarisha uwezo wa anga wa Iran
Sep 27, 2023 23:30Gazeti la Jerusalem Post la Israel limeandika kuwa, kurushwa angani Satalaiti Nour 3 ni sehemu ya mafanikio mapya ya kiteknolojia ambayo Iran inatumia kudhihirisha uwezo wake.
-
Kiongozi wa Ansarullah Yemen: Vita laini vinaendeshwa kwa lengo la kudhibiti umma wa Kiislamu
Sep 27, 2023 04:14Kiongozi wa Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Harakati ya Lobi ya Kiyahudi ya Kizayuni duniani pamoja na washirika wake inataka kupenya na kuwa na ushawishi baina ya Waislamu na hivyo kuudhibiti Umma wa Kiislamu.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia msikiti wa al-Aqswa
Sep 27, 2023 04:13Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wameuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi.
-
Harusi ya mauti! Zaidi ya watu 263 wafariki dunia na kujeruhiwa nchni Iraq + Video
Sep 27, 2023 00:25Takriban watu 113 wamefarikidi dunia na zaidi ya 150 kujeruhiwa katika moto uliozuka kwenye sherehe ya harusi katika mkoa wa Nineveh wa kaskazini mwa Iraq.
-
Kujitoa kimasomaso Israel baada ya kukataliwa na Pakistan madai yake ya kuanzisha uhusiano wa kawaida
Sep 26, 2023 22:50Baada ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala wa Kizayuni kudai kuwa huenda nchi nyingi zaidi zikafanya mapatano na Israel, Jalil Abbas Jilani, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan ametangaza kuwa, siasa za Islamabad kwa utawala huo hazijabadilika.
-
Waziri wa Israel yuko Saudia katika ziara ya kwanza ya wazi
Sep 26, 2023 10:47Waziri wa Utalii wa utawala wa Kizayuni wa Israel amewasili Riyadh kushiriki mkutano wa Umoja wa Mataifa, hii ikiwa ni ya ziara ya kwanza ya afisa wa ngazi ya waziri wa utawala huo haramu nchini Saudi Arabia, kufanyika hadharani.
-
Msemaji wa Hamas: Ni haki yetu ya msingi kujibu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni
Sep 26, 2023 04:24Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa mjibizo kwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni ya ndege zisizo na rubani katika ngome za muqawama huko Ghaza na kusema kwamba: Mashambulizi hayo hayatasitsiha mapambano ya wanamuqawama wa Palestina dhidi ya utawala huo ghasibu.
-
Kushadidi jinai za Utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza
Sep 25, 2023 23:21Wanajeshi wa Kizayuni wameushambulia mji wa Tulkarem katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwaua shahidi vijana wawili wa Kipalestina.
-
Ulimwengu wa Kiarabu walaani kuvunjiwa heshima tena Qur’ani Tukufu nchini Uholanzi
Sep 25, 2023 09:54Kitendo cha kuvunjiwa heshima tena kitabu kitakatifu cha Qur’ani huko nchini Uholanzi kimekabiliwa na malalamiko na laana za Baraza la Ushirikiano wa Ghuba la Uajemi, Bunge la Kiarabu na nchi za Kiarabu za eneo la Asia Magharibi.
-
OIC yatoa mwito wa kusitishwa jinai za utawala wa Kizayuni
Sep 25, 2023 09:42Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu imelaani kushadidi jinai zinazofanywa na vikosi vya utawala ghasibu katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kutaka kukomeshwa vitendo hivyo.