-
Maafisa wa Ansarullah ya Yemen wako Riyadh kwa mazungumzo ya kusitisha mapigano na Wasaudi
Sep 15, 2023 04:32Wawakilishi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen na wanachama wa timu ya upatanishi kutoka Oman wako mjini Riyadh kufanya mazungumzo ya usitishaji vita wa kudumu na maafisa wa Saudi Arabia.
-
Rais wa Iran awatumia barua Mfalme na Mwanamfalme wa Saudia
Sep 14, 2023 23:41Vyombo vya habari vya Saudi Arabia vimeripoti kuwa, Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudia na Mrithi wa Ufalme wa nchi hiyo ya Kiarabu, Mohammed bin Salman wamepokea barua mbili tofauti kutoka kwa Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Makumi ya magaidi wa Daesh waangamizwa katika operesheni ya Hashd al-Shaabi Iraq
Sep 14, 2023 05:56Kamanda mmoja wa vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la Hashd al-Shaabi amesema kuwa, harakati hiyo imefanya operesheni ya kipekee kwenye mkoa wa Khanaqin na kufanikiwa kuangamiza makumi ya magaidi wa Daesh (ISIS).
-
Kushadidi ugomvi kati ya wapinzani na waungaji mkono wa marekebisho ya mahakama za Kizayuni
Sep 13, 2023 10:45Mahakama ya Juu ya utawala wa Kizayuni wa Israel jana Jumanne ilifanyika kikao cha kuchunguza malalamiko yanayotolewa dhidi ya kipengee cha muswada wa mageuzi ya mahakama ambao baraza la mawaziri la Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu, linakusudia kuidhinisha vifungu vyake vyote katika bunge la Israel (Knesset).
-
Msikiti wa al-Aqswa waendelea kuvamiwa na walowezi wa Kizayuni
Sep 13, 2023 07:42Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kuuvunjia heshima.
-
Iraq yasema itafungamana na makubaliano yake ya usalama na Iran
Sep 12, 2023 23:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Fuad Hussein, ameihakikishia Iran kuwa nchi yake inasalia na dhamira ya dhati katika kufungamana na makubaliano yake ya kiusalama na Jamhuri ya Kiislamu kuhusu kuyafurusha makundi ya kigaidi yanayoipinga Iran katika eneo la Kurdistan lenye mamlaka ya ndani.
-
Kupungua umaarufu wa Netanyahu na tishio la kuuawa wajumbe wa Mahakama ya Juu ya Israel
Sep 12, 2023 09:02Matokeo ya uchunguzi wa hivi karibuni zaidi wa maoni uliofanywa na vyombo vya habari vya Kizayuni yanaonyesha kuwa, asilimia 75 ya Wazayuni hawaridhishwi na utendaji kazi wa Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni na baraza lake la mawaziri.
-
HAMAS: Manuva ya Ar-Ruknu-Shadiid ni ya kuunga mkono Muqawama wa Ufukwe wa Magharibi
Sep 12, 2023 02:57Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa mazoezi ya kijeshi ya Ar-Ruknu-Shadiid (Nguzo Imara) ni sisitizo la kuwepo umoja katika Muqawama wa Palestina Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Msikiti wa al-Aqswa ni mstari mwekundu wa taifa la Palestina
Sep 11, 2023 10:31Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS huko Quds iinayokaliwa kwa mabavu ameashiria vitendo vya Wazayuni vya kulivunjia heshima eneo hilo takatifu na kusisitiza kwamba, msikiti wa al-Aqswa utaendelea kuwa mstari mwekundu wa taifa la Palestina.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena kibla cha kwanza cha Waislamu
Sep 11, 2023 03:28Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.