-
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza; athari za kutisha za jinai za Israel
Nov 27, 2025 06:47Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imefichua vipengele vipya vya athari za kutisha za vita vya Gaza. Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa vita vya utawala wa Kizayuni huko Gaza vimeunda shimo la kutisha na kwamba ujenzi mpya wa ukanda huu utahitaji kwa uchache dola bilioni 70 na muda wa miongo kadhaa, takwimu zinazodhihirisha wazi kina cha janga hili.
-
Israel yawapokonya simu za Android makamanda wake wa kijeshi
Nov 27, 2025 02:29Jeshi la Israel limeamua kuwapiga marufuku makamanda wake kutumia simu za Android kutokana na usalama mdogo uliomo kwenye simu zinazotumia mifumo hiyo.
-
Rais wa China: Jamii ya kimataifa ichukue hatua kufikia usitishaji vita wa kudumu Gaza
Nov 26, 2025 22:57Rais Xi Jinping wa China ameitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua kufikia usitishaji vita wa kudumu katika Ukanda wa Gaza
-
UNRWA: 90% ya Wapalestina Ghaza wanategemea msaada, wanapitisha siku kwa mlo mmoja
Nov 26, 2025 08:47Shirika la Umoja wa Mataifa la Kutoa Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limesema, hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza ingali ni ya majanga licha ya kusitishwa mapigano, na kuonya kwamba vizuizi vinavyowekwa na utawala wa kizayuni wa Israel kwa uingizaji wa misaada vinaifanya hali ya eneo hilo isiweze kuboreka.
-
Mvutano mkali ulitawala mazungumzo ya Trump na Bin Salman kuhusu kuanzisha uhusiano na Israel
Nov 26, 2025 08:14Duru zenye taarifa zimedokeza kuwa, mkutano kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman uliofanyika wiki iliyopita katika Ikulu wa White House ulishuhudia mvutano wa dhahiri kwa sababu Trump aliishinikiza Riyadh ijiunge na Mkataba wa Abraham, wa kuanzisha uhusiano rasmi na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Gazeti la Haaretz lamuonya Netanyahu: Israel inaelekea kuporomoka kwa ndani
Nov 25, 2025 23:32Gazeti la Kiebrania la Haaretz limeikosoa serikali ya utawala wa kizayuni wa Israel na waziri mkuu wake Benjamin Netanyahu, likionya kwamba utawala huo unaelekea kuporomoka kwa ndani huku Netanyahu akifanya juu chini ili kuanzisha vita vipya kwa ajili ya eti kuzuia kile gazeti hilo linachokiita "uangamiaji wa Israel".
-
Yemen: Tunasimama na Lebanon na wapiganaji wa muqawama nchini humo
Nov 25, 2025 07:38Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya Ansarullah ya Yemen imesisitiza uungaji mkono wa nchi hiyo kwa Lebanon dhidi ya uvamizi na uchokozi wa mara kwa mara wa utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
Hizbullah ya Lebanon: Muqawama utalipiza kisasi cha mashahidi wake
Nov 25, 2025 07:33Mwanachama mmoja wa ngazi za juu katika Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa harakati hiyo ya muqawama italipiza kisasi cha mashahidi wake na kwamba irada yake kamwe haitadhoofishwa.
-
Kwa nini mkataba wa gesi kati ya Israel na Misri unakaribia kusambaratika?
Nov 25, 2025 06:52Hitilafu za kisiasa na kiusalama kati ya utawala ghasibu wa Israel na Misri zimechukua zimefikia katika uga wa kiuchumi, na sasa zimefikisha mkataba mkubwa zaidi wa gesi kati ya Tel Aviv na Cairo kwenye ukingo wa kusambaratika.
-
IRGC: Mauaji ya kamanda wa Hizbullah yamefichua udhaifu wa Israel mbele ya Muqawama
Nov 24, 2025 23:42Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limesema kuwa mauaji ya kikatili yaliyofanywa na Israel dhidi ya kamanda wa ngazi za juu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon yamefichua “udhaifu” wa utawala huo mbele ya Mhimili wa Muqawama.