-
Hamas: Mauaji ya Wazayuni dhidi ya watoto wa Kipalestina yatambuliwe kuwa ni uhalifu
Jun 05, 2023 07:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa wito wa kutambuliwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watoto wa Kipalestina kuwa ni uhalifui na jinai, na kuwafungulia mashitaka wanaofanya jinai hizo.
-
Wabahrain waujia juu ubalozi wa Marekani mjini Manama kwa kutangaza ushoga nchini humo
Jun 05, 2023 06:48Wananchi wa Bahrain wametangaza hasira na masikitiko yao kutokana na kuwekwa bendera ya mashoga na mabaradhuli kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya ubalozi wa Marekani mjini Manama na uungaji mkono wa ubalozi huo kwa kampeni ya kueneza ushoga nchini mwao.
-
Zaidi ya watoto milioni 12 wa Kiyemeni wanahitaji misaada ya kibinadamu
Jun 04, 2023 23:04Taasisi ya Haki za Binadamu ya Intisaf imeripoti kuwa watoto wa Kiyemeni zaidi ya milioni 12 wanahitaji misaada ya kibinadamu.
-
Mwakilishi wa Syria UN: Kutetea haki za wakimbizi wa Palestina hakuhitaji mjadala
Jun 03, 2023 21:50Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa suala la kutetea haki za wakimbizi wa Kipalestina ni jambo ambalo haliwezi kuwekwa kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili ya mjadala.
-
Wanajeshi watatu wa Israel waangamizwa katika mpaka wa Misri
Jun 03, 2023 09:09Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimetangaza kuwa, wanajeshi watatu wa Israel wameangamizwa wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio la risasi kwenye mipaka ya Misri na Palestina inayokalia kwa mabavu ambayo imepachikwa jina bandia la Israel
-
Ayatullah Issa Qassim: Wananchi wa Bahrain hawatasalimu amri
Jun 03, 2023 03:20Ayatullah Issa Qassim, kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia nchini Bahrain ametangaza kuwa, wananchi wa Bahrain katu hatawasalimu amri mbele ya dhulma na ukandamizaji dhidi yao.
-
Wazayuni wakiri kutokuwa na uwezo wa kuzuia operesheni za wanamuqawama wa Palestina
Jun 02, 2023 02:56Operesheni za kishujaa za wanamuqawama wa Palestina zimeongezeka sana na kuvilazimisha vyombo vya habari vya Kizayuni kukiri na kutangaza kuwa Israel imeemewa na haiwezi kukabiliana na operesheni za Wapalestina.
-
Luteka ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni, kuendelea kutumia turufu iliyofeli kutatua mgogoro wa ndani
Jun 01, 2023 22:15Baraza la Mawaziri la waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu linaendelea kutumia turufu iliyofeli ya kijeshi kujaribu kutatua mgogoro wa ndani unaoikabili serikali ya genge lenye misimamo mikali ya kufurutu mipaka la Kizayuni.
-
Wapalestina 45 wajeruhiwa kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi
Jun 01, 2023 02:44Taasisi ya Mwezi Mwekundu ya Palestina jana usiku ilitangaza kuwa Wapalestina 45 wamejeruhiwa katika mapigano kati ya wanajeshi wa Kizayuni na raia wa Palestina katika mji wa Nablus kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina yaonya upanuzi wa vitongoji vya walowezi Nablos
May 31, 2023 03:17Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya mamlaka ya ndani ya Palestina imeonya kuhusiana na upanuzi wa vitongojii vya walowezi wa Kizayuni huko Nablos, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.