-
Katibu Mkuu wa OPEC akaribisha kurejea kikamilifu Iran katika soko la mafuta
May 30, 2023 06:02Katibu Mkuu wa jumuiya ya nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi Duniani (OPEC) amesema kuwa jumuiya hiyo inakaribisha kurejea kikamilifu Iran katika soko la mafuta baada ya kuondolewa vikwazo.
-
Lobi mpya kuundwa katika bunge la Wazayuni kwa lengo la kuuhodhi msikiti wa Al-Aqsa
May 29, 2023 23:00Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel vimeripoti habari ya kuundwa "lobi mpya" ya Wazayuni katika Knesset (Bunge) la utawala huo ili kuudhibiti Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Sana'a yionya Riyadh kuhusu "jibu kali litakaloifanya ijute"
May 29, 2023 22:08Katibu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen ameutahadharisha muungano wa vita unaoongozwa na Saudi Arabia kwamba iwapo utaendelea kuchelewesha na kupoteza muda katika mazungumzo ya amani, utakabiliwa na jibu la kushtukiza na litakaloufanya ujute.
-
Ngao ya ulinzi ya Syria yatungua makombora ya Israel Damascus
May 29, 2023 07:08Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Syria kimetangaza kutungua makombora yaliyovurumishwa na utawala haramu wa Israel kuelekea viungani mwa mji mkuu Damascus.
-
Iraq: Jordan imegeuzwa maficho ya Waba'athi zaidi ya elfu tano waliotoroka nchi
May 28, 2023 22:02Kiongozi mmoja wa Muungano wa al-Fat'h ya Iraq amesema, Jordan sasa hivi imegeuzwa maficho ya Maba'athi zaidi ya elfu tano waliotoroka nchi.
-
UN: Watoto nusu milioni wa Yemen wanakabiliwa na utapiamlo
May 28, 2023 03:14Mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa yameonya kuwa, watoto zaidi ya laki tano wa Yemen wanawajihiwa na utapiamlo wa kiwango cha juu, hali inayotishia maisha yao.
-
Uchambuzi kuhusu mlingano wa muqawama/utawala wa Kizayuni tokea mwaka 2000 hadi sasa
May 27, 2023 21:47Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon Alhamisi usiku alitoa hotuba kwa mnasaba wa kumbukumbu ya maadhimisho ya kukombolewa Lebanon inayojulikana kama "Idi ya Muqawama na Ukombozi" na kubainisha mabadiliko yaliyojiri katika mlingano wa muqawama na utawala wa Kizayuni.
-
Saudia yatoa miongozo kwa mahujaji, imo marufuku ya kupiga picha maeneo matakatifu
May 27, 2023 07:19Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia imetoa taarifa ya miongozo kwa mahujaji wa mwaka huu wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu.
-
Mwanadiplomasia wa zamani wa Uswidi: Apartheid itasababisha kuanguka kwa Israel
May 27, 2023 02:36Mwanasiasa na mwanadiplomasia wa zamani wa Uswidi amejibu matamshi ya viongozi wa utawala wa Kizayuni katika mkutano wa Herzliya akisisitiza kuwa, ubaguzi wa apartheid unaisukuma Israel kuelekea shimoni.
-
Idi ya muqawama; siku ya jinamizi kwa wavamizi
May 26, 2023 22:09Tarehe 25 Mei mwaka 2000, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ulishindwa vibaya sana kwa kipigo kikali ulichopata kwa Muqawama wa Hizbullah ya Lebanon; na matokeo yake ukalazimika kurudi nyuma na kuondoka kimadhila kusini mwa nchi hiyo. Siku hiyo imekuwa maarufu nchini Lebanon kwa la jina la "Sikukuu ya Muqawama".