-
MSF: Israel inaendelea kutumia misaada ya Gaza kama silaha ya vita
Oct 26, 2025 23:13Afisa mkuu wa shirika la kimataifa la misaada ya kibinadamu la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) anasema utawala wa Israel unaendelea kutumia misaada ya kibinadamu huko Gaza kama silaha ya vita dhidi ya Wapalestina.
-
PKK yatangaza kuondoka Uturuki kama sehemu ya mchakato wa kuweka chini silaha
Oct 26, 2025 23:09Kundi la wanamgambo wa Kikurdi la PKK limetangaza rasmi uamuzi wake wa kuondoa wapiganaji wake wote nchini Uturuki kuelekea kaskazini mwa Iraq, kama sehemu ya mchakato wa kuweka chini silaha.
-
Hamas: Israel imeshindwa kufikia malengo yake kupitia mauaji ya kimbari
Oct 26, 2025 04:37Harakati ya Kiislamu ya Mapambano ya Ukombozi wa Palestina, Hamas, limesisitiza kuwa utawala wa Israel umeshindwa kufanikisha malengo yake kupitia vita vya zaidi ya miaka miwili vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Kwa nini UNRWA huko Gaza inalengwa kwa mashinikizo ya kisiasa?
Oct 26, 2025 02:39Mkuu wa Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema: Vita vya Gaza vimeonyesha kwamba sheria za kimataifa hazizingatiwi kabisa.
-
Spika Berri: Umoja kati ya makundi ya Lebanon ndio msingi wa ushindi dhidi ya Israel
Oct 26, 2025 01:11Nabih Berri Spika wa Bunge la Lebanon ametaja uhusiano na umoja uliopo kati ya serikali, wananchi, jeshi na vikosi vya Muqawama kama ufunguo wa kupata ushindi wa mwisho dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Waziri wa vita wa Israel akiri hawawezi kuharibu mahandaki ya Muqawama Ghaza
Oct 25, 2025 01:53Waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni ametamka bayana kwamba utawala huo ambao umefanya jinai kubwa mno za kuchupa mipaka kwa muda wa miaka miwili kwenye Ukanda wa Ghaza, hauwezi kuangamiza mahandaki na njia ya chini ya ardhi za makundi ya Muqawama yakiongozwa na HAMAS.
-
Waziri wa Israel awatusi Wasaudia: Endeleeni kupanda ngamia
Oct 24, 2025 23:01Waziri wa fedha wa utawala wa kizayuni wa Israel katika taarifa yake ya dharau kuhusu Saudi Arabia, amesema kwamba hatakubali makubaliano ya kuuanzisha uhusiano wa kawaida na Riyadh ikiwa kutakuwa na sharti la kuundwa dola huru la Palestina.
-
WHO: Vivuko vyote vya Ukanda wa Gaza lazima vifunguliwe tena
Oct 24, 2025 22:59Shirika la Afya Duniani (WHO) limeelezea wasiwasi wake juu ya kutotumika kwa vituo vingi vya matibabu katika Ukanda wa Gaza, na kutoa mwito wa kufunguliwa tena kwa vivuko vyote kwenye Ukanda huo.
-
Usitishaji vita wa kulegalega; kwa nini hatuwezi kuwa na matumaini kuhusu mustakabali wa amani Gaza?
Oct 24, 2025 08:00Hatua ya utawala wa kizayuni wa Israel ya kutofungamana na usitishaji vita wa Gaza na kuendelea kuwaua watu wa ukanda huo mdogo kumeuacha mustakabali wa amani katika eneo hilo katika hali tete na isiyoeleweka.
-
Afisa wa UN aitaka Israel kutii uamuzi wa ICJ kuhusu msaada kwa Gaza
Oct 24, 2025 06:39Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk, ameitaka Israel kutekeleza kwa haraka uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), akisisitiza wajibu wa utawala huo chini ya sheria za kimataifa kuhakikisha misaada muhimu inafika Gaza na maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu