-
Hizbullah ya Lebanon: Wananchi wa Palestina wathibitisha tena thamani yao katika ushindi na ukombozi
May 15, 2023 22:02Sheikh Naim Qassim, Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah amesema kuwa, wananchi wanamuqawama wa Palestina kwa mara nyingine tena wamethibitisha thamani yao katika ushindi na ukombozi.
-
Mufti wa Yemen: Hatutaiacha katu Palestina na matukufu ya Kiislamu peke yake
May 15, 2023 02:51Mufti wa Yemen ametangaza mshikamano na wananchi na Muqawama wa Palestina na akasisitiza kuwa, haifai kunyamazia kimya na kufumbia macho matukio ya Ulimwengu wa Kiislamu hususan Palestina.
-
HAMAS: Tunazishukuru Iran na Hizbullah kwa namna ya kipekee
May 14, 2023 22:10Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: "Tunazishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Hizbullah ya Lebanon kwa namna ya kipekee."
-
Mahesabu ghalati ya adui; sababu kuu ya jinai za hivi karibuni za Israel dhidi ya Gaza
May 14, 2023 22:09Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria jinai za hivi karibuni za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kueleza kwamba, mahesabu yasiyo sahihi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ndio sababu halisi ya kuibuka vita hivi.
-
Vita vya siku tano Gaza vimedhihirisha nguvu na uwezo wa Muqawama wa Palestina
May 14, 2023 08:25Mashambulizi ya anga ya utawala haramu wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na majibu ya makundi ya Palestina kwa jinai za utawala huo ghasibu yamesajili kumbukumbu ya makabiliano mengine katika historia ya Muqawama wa Palestina.
-
Utawala wa Kizayuni wakiuka usitishaji vita baina yake na Ukanda wa Gaza
May 14, 2023 03:20Vyombo vya habari vya Palestina vimetangaza kuwa Tel Aviv imekiuka usitishaji vita baada ya kupita masaa kadhaa tokea kuanza kutekelezwa mapatano hayo kati ya utawala wa Kizayuni na makundi ya muqawama katika Ukanda wa Ghaza.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia azungumza kwa simu na Mjumbe wa UN katika masuala ya Syria
May 14, 2023 03:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria.
-
Palestina yaitaka UN kuchukua hatua za kusitisha mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya raia
May 13, 2023 21:59Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameashiria jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza na katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuutaka Umoja wa Mataifa kuchukua hatua haraka iwezekanavyo ili kusitisha kuuliwa Wapalestina.
-
Wapalestina wameshapiga maeneo ya Wazayuni kwa maroketi 1099 tangu vilipoanza vita vipya
May 13, 2023 06:51Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kwamba tangu lilipoanza wimbi jipya la vita vilivyoanzishwa na Wazayuni Jumanne iliyopita, makundi ya muqawama ya Ukanda wa Ghaza yameshavurumisha matoketi 1099 kupiga maeneo ya Wazayuni.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
May 13, 2023 02:41Makumi ya wananchi wa Morocco wameandamana katika mji mkuu Rabat na kutangaza kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.