-
Safari ya Faisal al Miqdad huko Jeddah; mabadiliko katika sera za nje za Saudi Arabia
Apr 15, 2023 04:25Faisal al Miqdad Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amefanya ziara nchini Saudi Arabia kufuatia mwaliko rasmi wa mwenzake wa Saudi Arabia Faisal bin farhan.
-
Mazungumzo ya amani baina ya Yemen-Saudi yaanza kufanikiwa
Apr 14, 2023 22:48Mjumbe mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen anasema mazungumzo ya amani baina ya nchi hiyo na Saudi Arabia yameanza kuzaa matunda na kwamba majadiliano zaidi yatafanyika ili kuondoa tofauti zilizosalia.
-
Kufunguliwa mlango wa ubalozi wa Iran mjini Riyadh; hatua mpya ya kutekelezwa makubaliano ya Iran na Saudi Arabia
Apr 14, 2023 10:59Milango ya jengo la ubalozi wa Iran mjini Riyadh iliyokuwa imefungwa kwa takribani miaka saba kufuatia kukatwa uhusiano wa nchi mbili, siku ya Jumatano ilifunguuliwa tena na kuashiria azma thabiti ya mataifa haya mawili ya Kiislamu ya kuhuisha tena uhusiano wao wa kidiplomasia.
-
Hamas: Siku ya Quds inaukumbusha Umma majukumu yake ya kukomboa Msikiti wa al Aqsa
Apr 14, 2023 08:14Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds na kutaka kuweko harakati ya kimataifa ili kuunga mkono muqawama na mapambano ya wananchi wa Palestina na kuhitimisha uvamizi na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Iraq yakaribisha taarifa ya pamoja ya Syria na Saudia
Apr 14, 2023 03:48Iraq imekaribisha taarifa ya pamoja ya Syria na Saudi Arabia, iliyotolewa mwishoni mwa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Faisal al-Miqdad mjini Riyadh siku ya Jumatano.
-
Qatar: Kuwaunga mkono Wapalestina ni kipaumbele katika sera zetu za nje
Apr 14, 2023 03:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema, kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ni kipaumbele cha kwanza cha sera za nje za nchi hiyo.
-
Kikao cha Pande Nne Samarkand: Marekani inahusika na hali ya sasa ya Afghanistan
Apr 13, 2023 08:39Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran, Russia, China na Pakistan wamesema katika taarifa yao kwenye mkutano wao kwamba, Marekani inahusika na kubeba dhima ya hali ya sasa inayoikabili Afghanistan.
-
Damascus: Shambulio dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa linaonyesha sura ya apartheid ya utawala wa Israel
Apr 13, 2023 04:39Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya walowezi wa Kizayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa ni matokeo ya ubaguzi wa rangi na tabia ya kigaidi ya utawala huo.
-
Waziri wa mambo ya nje wa Misri kufanya ziara rasmi nchini Uturuki hii leo
Apr 12, 2023 23:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Sameh Shoukry, atafanya ziara rasmi leo nchini Uturuki huku uhusiano wa nchi hizo mbili ukiendelea kuboreka.
-
Netanyahu aamuru Mayahudi wasiingie Msikiti wa Al-Aqsa mpaka mwisho wa Ramadhani
Apr 12, 2023 09:18Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa kwa ushauri wa maafisa usalama wa Israel, Mayahudi wasiende katika Msikiti wa Al-Aqsa hadi mwisho wa mwezi wa Ramadhani.